Umeshawahi Kuiona "Escape From Sorbibo...? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umeshawahi Kuiona "Escape From Sorbibo...?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtoboasiri, Nov 12, 2011.

 1. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #1
  Nov 12, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  ...kama umeshawahi kuiona basi unaijua nguvu ya umma.
   
 2. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #2
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,142
  Likes Received: 2,177
  Trophy Points: 280
  Sabibo na Nguvu ya Uma wapi na wapi Nakushauri ukaitizame Upya hiyo Movie
   
 3. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #3
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  haviendani-tafuta documentary ya arab awakening ndo vinaendana
   
 4. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #4
  Nov 12, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,420
  Likes Received: 3,768
  Trophy Points: 280
  We hujaiona. Hivi yule jamaa aliyeficha silaha siyo aliyewauwa maadui kwa kuogea nao
   
 5. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #5
  Nov 12, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Kuna film zilizo karibu na Nguvu ya Umma ila siyo hiyo.

  Mie ninayo ingawa sikuipenda sana kwani kuna film nyingi kuhusu Concentration Camps ila hii si nzuri sana. Angalia kama hii ya Roman Polanski ya PIANIST.

  Na kuhusu ESCAPE, nafikiri pia zipo nzuri sana ambazo waweza kuziangalia na ukazipenda.
   
 6. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #6
  Nov 12, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Ni magamba hao, ila ujumbe umefika. Usiwajali hao ndugu yangu!???!!
   
 7. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #7
  Nov 12, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Wakalamla u-usula iduguye? Nguvu ya umma inahusu mwenye mabavu kushindwa na mnyonge asie na silaha!

   
 8. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #8
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  ni nguvu ya umma ile, labda kama hujui maana ya nguvu ya umma
   
 9. B

  Bundajo JF-Expert Member

  #9
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 244
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ile ilikuwa nguvu ya kijiko haikuwa nguvu ya uma.
   
 10. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #10
  Nov 12, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,133
  Likes Received: 7,380
  Trophy Points: 280
  Haviendani mbona!!
  Escape from Sobibor although kulikua na some movments but iliishia kwa wale waliokua wakinyanyaswa na kuonewa kukimbia/kutoroka.
  Je unamaanisha na sisi tukimbie tuiache nchi yetu kwa hawa madhalimu???
   
 11. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #11
  Nov 12, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,130
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  duh hii ni pumba
   
 12. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #12
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  mixer tope
   
 13. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #13
  Nov 12, 2011
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Ile film huwezi kuiita nguvu ya umma. Labda useme "nguvu ya wafungwa" maana walijipanga gerezani (kwenye kambi la mateso) na kuwavaa maadui na kukimbia (kujipa uhuru) toka kambi la mateso. Nguvu ya umma ni zaidi ya hiyo. Ngvu ya umma ni ya wananchi wanyonge walio katika makazi yao ya kawaida lakini kutokana na kuonewa na kunyanyaswa wanaamua kuleta mapinduzi kwa nguvu kwa kumtosa mkandamizaji. Kwa hiyo nguvu ya umma ni ya jamii nzima na wala si kikundi fulani cha watu, kv. wafungwa, wanafunzi, nk. Katika nguvu ya umma yanaingia makundi yote na kuwa nguvu moja, yaani ya umma.
   
 14. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #14
  Nov 13, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  kwanza wayahudi wenyewe walikuwa doro, mpaka walipokuja kupewa maujanja na mrusi!
   
 15. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #15
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,142
  Likes Received: 2,177
  Trophy Points: 280
  Nadhani utakuwa umetizama Sabibo iliyotafsiliwa na Lufufu kwa Kiswahili mule hakuna Nguvu ya Uma Mkuu.... Nadhani Uma Huuelewi maana Yake
   
 16. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #16
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,142
  Likes Received: 2,177
  Trophy Points: 280
  Wewe ndio Kabisa Uma kwanza inatakiwa wawe ni raia wa Nchi hiyo!

  Sasa Waisrael na Wajerumani uma upi na Pindi hicho Israel ilikuwa inakaliwa na waarab waliotokea pande zote za arabun Historia ndio inavyosema baadae wakajikusanya na kujiita palestine ikiongozwa na Arafat.
   
 17. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #17
  Nov 15, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  nimeiƶna zamani sana,mie wala siikumbuki. Nalog off
   
 18. N

  NZURI PESA JF-Expert Member

  #18
  Nov 15, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 4,034
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Ni kweli mkuu,hawaja itazama filam hiyo haina UHUSIANO HATA KIDOGO na nguvu ya umma.Nawashauri wakaitafute na waitazame kwa makini.
   
 19. N

  NZURI PESA JF-Expert Member

  #19
  Nov 15, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 4,034
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Nimesha itazama,nakushauri nawewe ukaitafute uitazame. Kiukweli haina UHUSIANO WOWOTE NA NGUVU YA UMMA! labda nguvu ya WAFUNGWA.
   
 20. N

  NZURI PESA JF-Expert Member

  #20
  Nov 15, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 4,034
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Ni kweli mkuu,hawaja itazama filam hiyo haina UHUSIANO HATA KIDOGO na nguvu ya umma.Nawashauri wakaitafute na waitazame kwa makini.
   
Loading...