Umeshawahi kuhonga wewe!?

Umeshawahi kuhonga wewe!?

Unapotoa kitu kwa ajili ya kitu fulani-ndio kuhonga huko,hata ukitoa pipi kumpatia mwenzako ili afurahi umoja/urafiki wenu hiyo pia ni kuhonga ;kwa uhalisia kila mmoja ameshahonga
 
Yaani hiyo hata nauli haijatosha kabisa.

Niliwahi ku-bet nauli ya kutoka Mtwara hadi Mwanza.
Kiukweli kama asingekuja ningeumia mno.
Lakini mtu alifika vizuri.

Mungu amsaidie huko alikoolewa, maana alikuwa ni mchumba wa mtu kutoka Malawi.
Dah.... Mpaka mwanamke kufikia kuolewa amepitia mengi mno
 
Kuna binti flani niliwahi kumuonga jez ya timu ya shule yangu yaan ilimpendeza sana ila nilikua naumia kimoyo moyo kwamba j3 naenda kudaiwa school
 
dah asee mi bahili...ila kula wanachopenda,, wakiondoka nawapa ya nauli hadi kwao, sina wivu,,kutoa hela kubwa ilikua ni10k....hahaaaaa
 
Naona ng'ombe wanapeana moyo....ama kweli ng'ombe hawaishi kila siku wanazaliwa!
 
Onga wewe, watoto wazuri utaishia kuwaita shemeji!
Sihongi na sipati shida kupata watoto wazuri. Kuhonga maana yake umeshindwa kupata kitu mpaka utoe hela au kitu. Bado sijashindwa kuwapata bure.
 
Kiasi kikubwa ni 6k cash na roho ilivyo niuma nilimwacha kimya hadi leo ajui kosa alijua ananioshea sana
 
Back
Top Bottom