Umeshawahi kufatilia kula tunda bila mafanikio?

Umeshawahi kufatilia kula tunda bila mafanikio?

Kuna mkenya kila siku nakula denda tu ukisema kupiga mashine mnakwazana,ukimwambia basi nikuache hataki,ukimchunia analalamika oh I miss you X,mwezi wa 4 sasa ngoma nzoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujakomaa kibaharia!!baharia haogopi kujifanya yupo commited, na sikuzote madem bikra wana mbinu zake kuwala
 
Teka hisia zake mkuu wala usiwe na haraka naye akiwa anatamani kukuona kila siku au anatamani kuchati nawe jua ememaind flag na ataileta mwenyewe bila kumwambia wala usiwe na haraka

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom