Umeshawahi kucheza kombolela, Baba na Mama weweeee

Umeshawahi kucheza kombolela, Baba na Mama weweeee

Rahabu

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
5,527
Reaction score
3,344
Wana Cc hv nan amewah kucheza kombolea namaanisha hii ni zaid kwa wale 2liolelewa kiuswaz mana get kal humkuti na hii michezo,

upande wa kombolela nilikua napenda mchezo wa kubadilishana nguo,
Na upande wa baba na mama nilikua napenda kua mtoto mana nilikua na umbo dogo enzi hzo
 
hahahaaa! umenikumbusha kitambo sana, Tulikua tukipiga hizo mishe mishe karibu na work shop ya fanitures. Session ya Kombolela ikiisha hufuata kibaba na kimama, yale makabati ya workshop yangekua yanaongea yangesimulia nilivyokua nawachojoa kufuli play mates wa kike. Kweli miaka inakimbia, nakutana nao leo, wana familia na maisha yao! Ila kuna bond between us, though we cant have sexual relations
 
Wana Cc hv nan amewah kucheza kombolea namaanisha hii ni zaid kwa wale 2liolelewa kiuswaz mana get kal humkuti na hii michezo,

upande wa kombolela nilikua napenda mchezo wa kubadilishana nguo,
Na upande wa baba na mama nilikua napenda kua mtoto mana nilikua na umbo dogo enzi hzo

nimewahi kucheza kama babu
 
Aha na bibi alikuwepo
 
sasa tutacheza nini tena
 
Hebu ning'ate hilo cikio
 
Enzi hizo tulienjoy sana.watoto wa wetu wa english medium hawana wanachokijua kabisa
 
Ha ha ha ha ha ha, nakumbuka nilipokua naenda kujificha nikiwa mtoto wa kike, ni mazima mpaka mchezo unaisha, tehe tehe utoto raha unapata nila hata gharama......Siku hizi nyoooo, pesa kwanza kama huna sogea nyuma.
 
Mchezo wa kombolela ulichochea ngono hasa wakati wa kujificha.
 
Aha kumbe 'KOMBOLELA' ndo 'KOBOLE'
Kule kwetu Zanzibar tunaita kobole mmoja anakaa na wengine wanjidicha
 
Back
Top Bottom