Umeshawahi ku-date msichana anayejifanya 'high class'...?

yaani hiki kizazi cjui kinalaana?
kila dem unaemtokea anawaza mafanikio makubwa ghafla/ apate gari nyumba nzuri na ndio ndio 7bu wanaingizwa mjini
sasa hiyo tisa kuna mshkaji wangu aliwahi kupata dem wa jins hiyo dem akawa na tamaa anataka laki 3 ndio atoe
mshkaj akasema haina shida nitakupa tukitoka iko kwenye gari, baada ya shughuli wakatoka mara dem akaona nguo kwambali dukan akasema baby ninunulie bac ile..
mshkaj akamwambia nenda uliza bei halafu uje uniambie
alivo shuka jamaa nduki
 
Lakini kwa kibongo bongo huwezi kuilinganisha Upanga na Mwananyamala Kisiwani.

Upanga walau nyumba kidogo zimejengwa kimpangilio. Barabara kama umezizoea zinaeleweka.

Upanga, at least enzi hizo, ilikuwa na hadhi zaidi kulinganisha na sehemu kama Sinza, Mwenge, Kawe, TMK, n.k.

Watoto wa Upanga walikuwa wanajisikia kama wale wa Obay, Masaki, na Mikocheni.

Standards.Local vs international.

Nimeenda OBay Primary pale barabara mashimo utafikiri mahandaki ya Hanoi during the war.

Next to bustani ya mchicha ya Mchambawima wamemuuzia Bakhresa kajenga bonge la hekalu.

Kila unapoenda monstrosities of bulgeoning behemoths mushrooming like some pre-Cambrian phenomena. Hapo hapo unaambiwa zimamoto hawawezi kuzima moto utakaotokea juu ya ghorofa ya saba.

Mi showroom ya magari mpaka Masaki!

I couldn't recognize Bagamoyo Road mitaa ya Mbezi Beach kulikokua ushuani vibanda kama Sinza barabarani.

Dar is going to the dogs.

Halafu wa Upanga wanataka kuchekana na wa Mbagala!

Huku wote hawana reliable running water. Or power for that matter.
 
I visited my old (o level) alma mater and I was like 'the fcuk!?'

Upanga ya sasa iko tofauti sana. Sasa sijui ni kwa vile labda macho yamezoea kuona mazingira tofauti ama vipi.

Ila ndiyo hivyo tena. Hata Obay nayo imechoka sana. Sasa hivi ni kama hakuna suburb ambayo iko bomba. Kote kumekuwa changanyikeni tu.

Ebana eeh...wapi Prunella? Namtafuta sana huyu.....
 
We nawe nitolee kiranga chako mie, unataka ujulikane umeishi upanga ili iweje!! Pia kumfuatlia, didnt waste my time kituo ni hapo hapo, alikuwa rafiki kwa nini anidanganye.
Hata kama upanga kuna slums, still huwezi kufananisha na mbagala!!

But according to me,haya yote ya kujikweza ni ki bongo zaidi,thus ? people
get rich and saturate,pompus has the cost into it.
 
Kwanza tamtazama nitacheka sana labda kama anatembea na chopper maana sijui awe anakaa wapi kama masaki,uchafu,mikocheni,kinyesi tupu,oysterbay mapori tupu,mbezi beach ni mitaro na madimbwi ya maji,sasa sijui atanitisha na nini nahao unaenda nao kwa step mwisho unampeleka guest za buku 10000 unamsikilizia akijifaragua unamwambia lipia mwenywe ila mimi kama mimi naachana naye kwa amani kwani ukisha mgonga tupa kule mwisho wasiku atakutafuta kwani hao wanakuwa na matatizo ya kutojiamni.
 
Kiranga is my name so you might as well get used to that.

Nilikuwa na establish bonafide first hand knowledge ya Upanga tu, si zaidi ya hapo. I teared the place down anyway, so it wasn't like I was bragging. Ningetaka ku brag ningetaja vingine vingi tu. Na kwa sheria ya Ali ningekuwa hata si brag, nasema tu experience yangu.

I licensed this under youthful indiscretions, you do not seem to have grasped that.

A slum is a slum, sasa ukitaka kulinganisha slum moja lina panya na lingine lina mende tu shauri yako.

Rubbish!!!
 
Wanaume wenzangu, Umeshawahi kupata Msichana, mnadate lakini yeye ana sheria kama anaishi Europe wakati wazazi wake wanakaa NGALE LO O?? Msichana anaku-ektia maisha hadi wewe Boyfriend wake wakati unamjua fika A-Z kwa kujifanya High Class.

Kila kitu anataka high class,kuanzia nguo,hadi sehemu ya kula,ukitaka kumpeleka kwa khani chips anakwambia mi nimezoea Naura Springs huko ntaumwa tumbo…Tumbo?? Wakati mamako anakula kishori home na ananenepa vizuri tu…Huwezi kuwa serious!

Mathalani, umemnunulia zawadi maskini ya Mungu, umepata vijisenti kidogo ukaamua kum-surprise bebi nini ,umemnunulia Kiatu kizuri… Sikia sheshe lake na maswali yake ya kalunguyeye,”Baby wow,thanks for Shoes,Designer gani???OOh Em G(kwa ile sauti yao ya swagga za kwenye Series za ITV),Chu Tang Huang,oh no please…

I only wear Italian Designers,kama Sio LV basi iwe angalau Prada,Versace,D&G au Givenchy,ukikosa saana,labdaRoberto Cavalli au Jean pauul Galtier…Hivi viatu rudisha tu baba,they are so cheap…Linakushuka Shuu!Maskini,unakuwa umejisapraiz!
Na utakuta wengi ni Mbulula tu hata hawajui hayo malebo...
 
Standards.Local vs international.

Nimeenda OBay Primary pale barabara mashimo utafikiri mahandaki ya Hanoi during the war.

Next to bustani ya mchicha ya Mchambawima wamemuuzia Bakhresa kajenga bonge la hekalu.

Kila unapoenda monstrosities of bulgeoning behemoths mushrooming like some pre-Cambrian phenomena. Hapo hapo unaambiwa zimamoto hawawezi kuzima moto utakaotokea juu ya ghorofa ya saba.

Mi showroom ya magari mpaka Masaki!

I couldn't recognize Bagamoyo Road mitaa ya Mbezi Beach kulikokua ushuani vibanda kama Sinza barabarani.

Dar is going to the dogs.

Halafu wa Upanga wanataka kuchekana na wa Mbagala!

Huku wote hawana reliable running water. Or power for that matter.
Na mihogo yao ya koko bichi ile na visamaki vinavyouzwa kwa vibatari.... aaaffffuuuu utawasikia mi mbagala hata sijui wanakula nini...
 
But according to me,haya yote ya kujikweza ni ki bongo zaidi,thus ? people
get rich and saturate,pompus has the cost into it.

Nafikiri hata kwa kwa wenzetu pia hiyo tabia ipo, kwani hii ni tabia ya mtu binafsi ya kutokubaliana na hali yake halisi!
 
hahaha pole sana.msichana wa huku anasema naona tabu boyfriend wangu ananinulia lunch yeye sometimes sipendi vooo naona tabu kwa kunihadithia wenyewe huku Canada.wao wanapigwa suprise ila wanataka kurejesha suprise back. hahaha kweli ukikulia mazingira ya huku na wewe unakua vile vile.wenzetu wa tanzania wanaiga ao usiwalaumu.ila wao wanataka wapewe toooo wasirejeshe maisha bana kila sehemu na design yake.
 
Back
Top Bottom