Umeshawahi ku-date msichana anayejifanya 'high class'...?

Umeshawahi ku-date msichana anayejifanya 'high class'...?

Kimbia speed 120 kwenye kona shaaaa .HAPANA MKE HAPO.:behindsofa::behindsofa:
 
Hadi mnafika kote huko ni kwamba ulikua huoni au??? haya mapenzi ya kuiga hayapendezi kabisa

kweli mkuu, wadada mbona wapo wengi wazuri na wanapenda chipsi vumbi, wadada wa namna hiyo kama umefika unatumia tu ile mbinu ya "Hit and Run" lakini kama unataka kuweka kambi ndio hayo yanakukuta
 
Duuuh na hisi mlikuwa kwenye site kwaajili ya movie!
 
Mh! Mie huku sikupita. I have never lied to anyone about who I am. Ili iweje sasa? Class is not something you decieve others about. Class is in your upbringing, class is in every aspect of your life. Huwezi kuwa na class one minute and not have it the next. Damn!
 
Dizain ya mwanawake hao hawana akili timamu.
Na kuna wanaume kama hao wasio na akili timamu, akikuona unaendesha Rav4 anakuambia ukanunue TDI LAND ROVER DEFENDER, ndio gari imara na bora.
Wakati yeye mwenyewe hata pesa ya kununua baiskeli hana.

Ukimuambia ninunulie hiyo defender, anajikuna kuna tu kichwani.
 
mmh,hv kumbe na wa vile wapo!!!! basi mwenzenu huwa napokea tu ht bila kuuliza hbr za designer wala nn.......ninachojua mm ni kupokea,kushukru na kuanza kutumia.

kuna dogo nilimuacha muhimbili akiwa second year. Yaani ni typical na wa maelezo ya jamaa. Vitu atataka mwende kununua supermarket, mkitaka kwenda beach anaka sehemu ghali lunch ndo usijaribu kumwambia. Ni bora mkale kwenye kale ka cafeteria ndo muondoke wakati yeye kwao maisha yake magumu kama nini. Sijui huwa wanataka kufidia deficit!
 
kama umesha-mgegeda we chapa lapa, tena umwambie ili kimuume.. Cc to mzabzab
 
...................Chu Tang Huang................

Huyu ni mbunifu wa kichina?

Tatizo mademu wengi wana tamaa zisizo na msingi na kupenda kujikweza. Nadhani hii inasababishwa na mtu huyo kutaka kuonekana tofauti na hali yake halisi kwa sababu za kutojiamini.

Maana kuna wengine wanaagiza vinywaji na vyakula vya gharama na vya ajabu ajabu kana kwamba kila siku kwao hula vitu hivyo.
 
kazi unayo mjomba..bora wangu wa matejo,shopping tegeru au memoria na crokoni,mambo ya lunch utasikia baby miogo ya mama maulidi au uji wa bibi mzungu
Wanaume wenzangu,Umeshawahi kupata Msichana,mnadate lakini yeye ana sheria kama anaishi Europe wakati wazazi wake wanakaa NGALE LO O??
Msichana anaku-ektia maisha hadi wewe Boyfriend wake wakati unamjua fika A-Z kwa kujifanya High Class,kila kitu anataka high class,kuanzia nguo,hadi sehemu ya kula,ukitaka kumpeleka kwa khani chips anakwambia mi nimezoea Naura Springs huko ntaumwa tumbo…Tumbo??wakati mamako anakula kishori home na ananenepa vizuri tu…Huwezi kuwa serious!
Mathalani,umemnunulia zawadi maskini ya Mungu,umepata vijisenti kidogo ukaamua kum-surprise bebi nini,umemnunulia Kiatu kizuri….Sikia sheshe lake na maswali yake ya kalunguyeye,”Baby wow,thanks for Shoes,Designer gani???OOh Em G(kwa ile sauti yao ya swagga za kwenye Series za ITV),Chu Tang Huang,oh no please…I only wear Italian Designers,kama Sio LV basi iwe angalau Prada,Versace,D&G au Givenchy,ukikosa saana,labdaRoberto Cavalli au Jean pauul Galtier…Hivi viatu rudisha tu baba,they are so cheap…Linakushuka Shuu!Maskini,unakuwa umejisapraiz!
 
Yakupasa uwe mentally liberated kwani hakuna bnt anayesh2kza kuyafanya hayo yote,tatzo ulimruhusu mwanzon sasa umeishiwa wapiga kelele za nn,chukua ha2a mapema utafiriska
 
Tatzo Lako ww D 007 ni kwamba huna History ya kuroll na Big dogs bitches ndio maana unaongea yote, sasa ngoja nikupe hii FORMULA ndogo tuu , Ukamilishe TRIPPLE C yaan Cash, Car, Cellular Phone kwisha hapo kwenye CASH c o lazma uwe nazo sana hata ukiwa na HELA flani ya KATI unaweza kumfanya akawa ZOBA wako, kikubwa zaidi ni MUKEBE/GARI/NDINGA nzuri hapo unakuwa umemloga na kuwa SMART ucsahau,Hawana SHIDA hao, Mwenzako mpk NAWAKIMBIA aiseeee..hahahahhaahahaaaaa..Karibu kwe2 USHUANI bhana...
 
Ndio maana ulitukanwa:cheer2::cheer2::cheer2:
 
Mimi tukienda sehemu halafu akajidai kuagiza mavitu ya gharama mara sijui mi wain sijui midude gani huwa nawaambia walipie wenyewe.
 
Tatzo Lako ww D 007 ni kwamba huna History ya kuroll na Big dogs bitches ndio maana unaongea yote, sasa ngoja nikupe hii FORMULA ndogo tuu , Ukamilishe TRIPPLE C yaan Cash, Car, Cellular Phone kwisha hapo kwenye CASH c o lazma uwe nazo sana hata ukiwa na HELA flani ya KATI unaweza kumfanya akawa ZOBA wako, kikubwa zaidi ni MUKEBE/GARI/NDINGA nzuri hapo unakuwa umemloga na kuwa SMART ucsahau,Hawana SHIDA hao, Mwenzako mpk NAWAKIMBIA aiseeee..hahahahhaahahaaaaa..Karibu kwe2 USHUANI bhana...

naivety at its best. Ati triple C. LOL!!
 
Kama umempenda msichana wa namna hiyo kwa ajili ya ndoa nakushauri utafute Kanisa la Kiroho lililopo jirani kwa ajili ya kuombewa kutolewa hao pepo wachafu kwanza baada ya hapo ufahamu wake utamrudia na atajitambua na kila kitu kitakuwa safi.
Kitu cha deliverance eeeh???
 
"Nje sister du kitandani gogo" by solothang, mara nyingi masister du sio watamu kabisa kitandani halafu papuchi zao full mtera maji 24hrs kujishebedua kwingi.
 
Back
Top Bottom