Umeshawahi ku-date msichana anayejifanya 'high class'...?

Umeshawahi ku-date msichana anayejifanya 'high class'...?

kiukweli mi huwa siwezi kuuvumilia upuuzi huo....nitamkata makofi kama sio kumuacha kabisa
 
usinichekeshe !mpenzi wangu!
forodhani kuna mkaka bonge ya mutu sasa hiv
alikuwa anasema anakaa masaki!kumbe anakaa mwananyamala
si alikuwa anapanda mabasi ya posta masaki anashukia palm beach af anapanda ya uswahilini kwetu!lol
ahahahhahahhah wapi mheshimiwa fulani!sikutaji mzee nimekumisss tu popte ulipo lol!

Duh, snowhite yaani umeamua kuja hapa kuniumbua sio eh..!

Poa, lakini ule ulikuwa ni ujana tu na umeshapita na sasa nimekuwa mkweli tangu nilipoumbuka siku zile................LOL
 
Last edited by a moderator:
watz kwa kucopy ? wewe mleta thread mbona hujasema umetoa wapi hili desa ?

Hihi hihi iiiiiii

Kumbe kaja kumsemea mtu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwani kabaki yeye tu msichana duniani?

Umelazimishwa?
 
Kwani Uongo, % kubwa ya Mademu wa BONGO Mnaendekeza Njaa Na Tamaa za Magari Somoe .Kutukanwa na m2 ambae Thinking Capacity yake ni sawa na Zero Hainisumbui.
 
aise pole sana hii mambo ipo sana kwa hawa dot com, eti wanaenda na wakati, can you imagine? but srioursly ni upuuzi usiotakiwa kuigwa hata kigodo, mashauzi tuu.
 
Miaka ya nyuma nilimdate dem flan hivi wa lauriate basi kidume nikstoroka bodin kwa mama wakatare nikampitia mtoto si alikua na best zake watatu na yy wa nne jumla tukawa watano basi akaniambia bby twende seacliff ah nikaenda nao cuz mm wale siwajua na wala sikuwaalika. Walichukuliwa na hako ka dem kanajifanya kunikomoa basi tulipofika yakaagizwa ma mvinyo ya kufa mtu na vyakula si bili ikaja mamamia mwanaume nilitoka taratibu bila ya kujulikana nikawaacha na balaa lao mie huyo nduki
 
Mashauzi classic au weka mbali na wewe,hafai hata ukimpeleka katika maombezi haponi lakini cha ajabu wanachukuliwaga na watu wa ajabu huwezi amini wapiga debe,vibega,makonda mabaa maid vizee hata mateja wanajichukuliaga kiulainiii kama unanawa vile.
 
hayo mambo hata ki shule yapo,hasa shule za sec.mtu anakupa story na kwao wanavyoishi kumbe uongo mtupu.kuna dada mmoja wakati nasoma,siku aliumbuka.alikuwa anaishi k'ndoni shamba,ila ki story zake akawa anatupa picha tofauti na anapoishi.siku alifiwa,wanafunzi tukaenda kwao,uwiiiii.aliumbuka mwenyewe.tangu siku hiyo,mashauzi hakuwa nayo tena

Mimi sasa nilisoma na dada mmoja Forodhani ambaye alikuwa anajifanya matawi, alikuwa anatuambia anakaa upanga, sasa kila siku akawa anajifanya ananisindikiza kituoni halafu yeye anarudi shule kusuburi dereva aje amchukue, ila nikawa naona it is weird mtu kumsindikiza mwezio kila siku halafu unatembea kurudi tena shule, halafu alikuwa nawahi shule sana so ili tusimuone anakujaje shule, nikasema huyu nitampata tu. Siku moja nikajifanya napanda gari halafu nikashuka, kumuangalia naona wala harudi shuleni, nikamfuata , loh nikamkuta anaparamia basi la mbagala, nikamwita jina lake, alistuka nusu aanguke. Kesho yake akaja kuniambia nisesema kwa watu kuwa yeye hakai upanga na anapandaga daladala, but it was too late nilikuwa nishawaambia kitambo!! Aisee umenikumbusha mbali sana...
 
Wanaume wenzangu, Umeshawahi kupata Msichana, mnadate lakini yeye ana sheria kama anaishi Europe wakati wazazi wake wanakaa NGALE LO O?? Msichana anaku-ektia maisha hadi wewe Boyfriend wake wakati unamjua fika A-Z kwa kujifanya High Class.

Kila kitu anataka high class,kuanzia nguo,hadi sehemu ya kula,ukitaka kumpeleka kwa khani chips anakwambia mi nimezoea Naura Springs huko ntaumwa tumbo…Tumbo?? Wakati mamako anakula kishori home na ananenepa vizuri tu…Huwezi kuwa serious!

Mathalani, umemnunulia zawadi maskini ya Mungu, umepata vijisenti kidogo ukaamua kum-surprise bebi nini ,umemnunulia Kiatu kizuri… Sikia sheshe lake na maswali yake ya kalunguyeye,”Baby wow,thanks for Shoes,Designer gani???OOh Em G(kwa ile sauti yao ya swagga za kwenye Series za ITV),Chu Tang Huang,oh no please…

I only wear Italian Designers,kama Sio LV basi iwe angalau Prada,Versace,D&G au Givenchy,ukikosa saana,labdaRoberto Cavalli au Jean pauul Galtier…Hivi viatu rudisha tu baba,they are so cheap…Linakushuka Shuu!Maskini,unakuwa umejisapraiz!
Mhhhhhh mwenzagu yamekukuta nini?ppole kama yamekukut,ila inaboa eeeehhhhh?
 
Mimi sasa nilisoma na dada mmoja Forodhani ambaye alikuwa anajifanya matawi, alikuwa anatuambia anakaa upanga, sasa kila siku akawa anajifanya ananisindikiza kituoni halafu yeye anarudi shule kusuburi dereva aje amchukue, ila nikawa naona it is weird mtu kumsindikiza mwezio kila siku halafu unatembea kurudi tena shule, halafu alikuwa nawahi shule sana so ili tusimuone anakujaje shule, nikasema huyu nitampata tu. Siku moja nikajifanya napanda gari halafu nikashuka, kumuangalia naona wala harudi shuleni, nikamfuata , loh nikamkuta anaparamia basi la mbagala, nikamwita jina lake, alistuka nusu aanguke. Kesho yake akaja kuniambia nisesema kwa watu kuwa yeye hakai upanga na anapandaga daladala, but it was too late nilikuwa nishawaambia kitambo!! Aisee umenikumbusha mbali sana...

Upanga itself is just about slums by international standards. I should know. I lived in Upanga at its prime.

I do hope your youthful curiosity is now curbed. Kumfuatilia mtu kihivyo kama private dick bila malipo is such a waste.
 
We nawe nitolee kiranga chako mie, unataka ujulikane umeishi upanga ili iweje!! Pia kumfuatlia, didnt waste my time kituo ni hapo hapo, alikuwa rafiki kwa nini anidanganye.
Hata kama upanga kuna slums, still huwezi kufananisha na mbagala!!
 
Hahahahahahaaaa, miye hoi jamani, wa hivyo wanapatikana wapi? tupa kule ni matatizo unatafuta, next time mwambie akusubiri Impala, na aagize chakula na vinywaji then unampotezea, kama kweli anajua maisha hayo yanawezekana kama hajaosha vyombo na kusafisha hotel nzima ili kulipia alichokula, lol
 
We nawe nitolee Kiranga chako

Kiranga is my name so you might as well get used to that.

mie, unataka ujulikane umeishi upanga ili iweje!!

Nilikuwa na establish bonafide first hand knowledge ya Upanga tu, si zaidi ya hapo. I teared the place down anyway, so it wasn't like I was bragging. Ningetaka ku brag ningetaja vingine vingi tu. Na kwa sheria ya Ali ningekuwa hata si brag, nasema tu experience yangu.

Pia kumfuatlia, didnt waste my time kituo ni hapo hapo, alikuwa rafiki kwa nini anidanganye.

I licensed this under youthful indiscretions, you do not seem to have grasped that.

Hata kama upanga kuna slums, still huwezi kufananisha na mbagala!!

A slum is a slum, sasa ukitaka kulinganisha slum moja lina panya na lingine lina mende tu shauri yako.
 
Dah! watoto wa vigogo bana....lazima wadondoshe sehemu walizoishi:becky:.

Sisi wa kwa Ali Maua tulie tu.

Mimi si mtoto, let alone mtoto wa kigogo.

Context imetolewa. Kwamba if anything Upanga is a collection of dilapidated slums. Siwezi kudondosha sehemu niliyoishi kama naieleea kuwa ni slum.

Ni bongo nchi masikini tu watu wanaweza kuringishia sehemu kama Upanga.
 
Mimi si mtoto, let alone mtoto wa kigogo.

Context imetolewa. Kwamba if anything Upanga is a collection of slums. Siwezi kudondosha sehemu niliyoishi kama naieleea kuwa ni slum.

Ni bongo nchi masikini tu watu wanaweza kuringishia sehemu kama Upanga.

Lakini kwa kibongo bongo huwezi kuilinganisha Upanga na Mwananyamala Kisiwani.

Upanga walau nyumba kidogo zimejengwa kimpangilio. Barabara kama umezizoea zinaeleweka.

Upanga, at least enzi hizo, ilikuwa na hadhi zaidi kulinganisha na sehemu kama Sinza, Mwenge, Kawe, TMK, n.k.

Watoto wa Upanga walikuwa wanajisikia kama wale wa Obay, Masaki, na Mikocheni.
 
Back
Top Bottom