Wanaume wenzangu,Umeshawahi kupata Msichana,mnadate lakini yeye ana sheria kama anaishi Europe wakati wazazi wake wanakaa NGALE LO O??
Msichana anaku-ektia maisha hadi wewe Boyfriend wake wakati unamjua fika A-Z kwa kujifanya High Class,kila kitu anataka high class,kuanzia nguo,hadi sehemu ya kula,ukitaka kumpeleka kwa khani chips anakwambia mi nimezoea Naura Springs huko ntaumwa tumbo
Tumbo??wakati mamako anakula kishori home na ananenepa vizuri tu
Huwezi kuwa serious!
Mathalani,umemnunulia zawadi maskini ya Mungu,umepata vijisenti kidogo ukaamua kum-surprise bebi nini,umemnunulia Kiatu kizuri
.Sikia sheshe lake na maswali yake ya kalunguyeye,Baby wow,thanks for Shoes,Designer gani???OOh Em G(kwa ile sauti yao ya swagga za kwenye Series za ITV),Chu Tang Huang,oh no please
I only wear Italian Designers,kama Sio LV basi iwe angalau Prada,Versace,D&G au Givenchy,ukikosa saana,labdaRoberto Cavalli au Jean pauul Galtier
Hivi viatu rudisha tu baba,they are so cheap
Linakushuka Shuu!Maskini,unakuwa umejisapraiz!