Umeshawahi cheza hili game?

Mkuu game hii ni tofauti,hii inachezwa kwa remote control!
 
Hapana, ila hii inaonekana kama ni high tech uchawi ambao una exist only in Nigeria ama west africa. Yaani jamaa wana enjoy kuwa control misukule wao (hao watoto) kwa kutumia remote, hatari kweli. :A S angry:
 
We saudari nani steringi hapo kwenye huo mchezo?mimi au wewe?kama ni wewe sichezi ila kama ni mimi nacheza maanake steringi hauawi.
Mkuu ni kweli kabisa steringi huwa hauwawi,lakini huwa analegezwa!

Je uko teyari kulegezwa?
 
Miye nakumbuka nilichapana makonde na jamaa, jamaa baada ya kuzidiwa si akanipaka pilipili machoni, mambo haya ni balaa.
 
Aisee sipati picha baba au mama wa watoto hao akipita hapo

Sasa chakushangaza anaweza akapita baba/mama halafu ukashangaa anang'ang'ania PAD na yeye anataka achezeshe.
 
Mkuu game hii ni tofauti,hii inachezwa kwa remote control!

Kitu kama vile PAD ila ila inakuwa imefungwa kamba au waya, mnachagua wenyewe kama utawafunga mguuni au mikononi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…