Papushikashi JF-Expert Member Joined Feb 28, 2016 Posts 11,351 Reaction score 13,882 Jul 22, 2016 #101 nyakato said: Wa tz bana.. kil kitu kutftniwa tu.. smartphone unayo ya nini sasa kama unataka upewe tuu? Go do ur research chaa!! Click to expand... Mkuu tunaogopeshwa ndio maana
nyakato said: Wa tz bana.. kil kitu kutftniwa tu.. smartphone unayo ya nini sasa kama unataka upewe tuu? Go do ur research chaa!! Click to expand... Mkuu tunaogopeshwa ndio maana
Papushikashi JF-Expert Member Joined Feb 28, 2016 Posts 11,351 Reaction score 13,882 Jul 22, 2016 #102 multiphill90 said: Ha ha ha. Mi mwenyewe nlikua naskizia sound nyuma ya spika... We ulidhan mi ndo kimbelembele... Mwenye mrejesho atupe taarifa Click to expand... Kama mimi
multiphill90 said: Ha ha ha. Mi mwenyewe nlikua naskizia sound nyuma ya spika... We ulidhan mi ndo kimbelembele... Mwenye mrejesho atupe taarifa Click to expand... Kama mimi
Papushikashi JF-Expert Member Joined Feb 28, 2016 Posts 11,351 Reaction score 13,882 Jul 22, 2016 #103 everhurt said: Mbona kama walioenda huko Deep Web hawarudi? Na waliorudi kama wanaweweseka hivi, Kunani??? Click to expand... Nasikia ukiingia kitu cha kwanza unarudishiwa jini ili uwe access wa huko
everhurt said: Mbona kama walioenda huko Deep Web hawarudi? Na waliorudi kama wanaweweseka hivi, Kunani??? Click to expand... Nasikia ukiingia kitu cha kwanza unarudishiwa jini ili uwe access wa huko
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,224 Reaction score 39,937 Jul 22, 2016 #104 everhurt said: Yani mkuu lile kundi lote lililoenda wamebahatika kurudi wawili tu, na hawasemi kilichowasibu, hata wenzao waliobaki hawajui kilichowapata. Click to expand... ....labda wamebakwa
everhurt said: Yani mkuu lile kundi lote lililoenda wamebahatika kurudi wawili tu, na hawasemi kilichowasibu, hata wenzao waliobaki hawajui kilichowapata. Click to expand... ....labda wamebakwa
Papushikashi JF-Expert Member Joined Feb 28, 2016 Posts 11,351 Reaction score 13,882 Jul 22, 2016 #105 everhurt said: Teh teh teh afadhali umerudi. Click to expand... Huyu wa kwanza karudi... Asavali
Dream Queen JF-Expert Member Joined Nov 4, 2015 Posts 8,262 Reaction score 18,251 Jul 22, 2016 #106 Papushikashi said: Nasikia ukiingia kitu cha kwanza unarudishiwa jini ili uwe access wa huko Click to expand... Uwiii tumewakosa ndugu zetu.
Papushikashi said: Nasikia ukiingia kitu cha kwanza unarudishiwa jini ili uwe access wa huko Click to expand... Uwiii tumewakosa ndugu zetu.
Papushikashi JF-Expert Member Joined Feb 28, 2016 Posts 11,351 Reaction score 13,882 Jul 22, 2016 #107 werrason said: ....labda wamebakwa Click to expand... Mkuu hebu jaribu na wewe kuzama ukawachungulie wenzetu maana kuna wengine wameenda jana bado hawajarudi mpaka sasa
werrason said: ....labda wamebakwa Click to expand... Mkuu hebu jaribu na wewe kuzama ukawachungulie wenzetu maana kuna wengine wameenda jana bado hawajarudi mpaka sasa
Dream Queen JF-Expert Member Joined Nov 4, 2015 Posts 8,262 Reaction score 18,251 Jul 22, 2016 #108 werrason said: ....labda wamebakwa Click to expand... Teh teh teh, me simoooooo
Dream Queen JF-Expert Member Joined Nov 4, 2015 Posts 8,262 Reaction score 18,251 Jul 22, 2016 #109 Papushikashi said: Huyu wa kwanza karudi... Asavali Click to expand... Ila anaweweseka hatoi maelezo ya kutosha
Papushikashi said: Huyu wa kwanza karudi... Asavali Click to expand... Ila anaweweseka hatoi maelezo ya kutosha
Dream Queen JF-Expert Member Joined Nov 4, 2015 Posts 8,262 Reaction score 18,251 Jul 22, 2016 #110 Papushikashi said: Mkuu hebu jaribu na wewe kuzama ukawachungulie wenzetu maana kuna wengine wameenda jana bado hawajarudi mpaka sasa Click to expand... Akienda inabidi tumfunge kamba mguuni ili iwe rahic kumvuta kama akikwama.
Papushikashi said: Mkuu hebu jaribu na wewe kuzama ukawachungulie wenzetu maana kuna wengine wameenda jana bado hawajarudi mpaka sasa Click to expand... Akienda inabidi tumfunge kamba mguuni ili iwe rahic kumvuta kama akikwama.
Papushikashi JF-Expert Member Joined Feb 28, 2016 Posts 11,351 Reaction score 13,882 Jul 22, 2016 #111 everhurt said: Ila anaweweseka hatoi maelezo ya kutosha Click to expand... Pengine wamemwambia asitoe siri za huko
everhurt said: Ila anaweweseka hatoi maelezo ya kutosha Click to expand... Pengine wamemwambia asitoe siri za huko
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,224 Reaction score 39,937 Jul 22, 2016 #112 Papushikashi said: Mkuu hebu jaribu na wewe kuzama ukawachungulie wenzetu maana kuna wengine wameenda jana bado hawajarudi mpaka sasa Click to expand... Mh!!! ....me sijui kupiga mbizi.
Papushikashi said: Mkuu hebu jaribu na wewe kuzama ukawachungulie wenzetu maana kuna wengine wameenda jana bado hawajarudi mpaka sasa Click to expand... Mh!!! ....me sijui kupiga mbizi.
mwanawao JF-Expert Member Joined Aug 18, 2010 Posts 3,221 Reaction score 5,888 Jul 22, 2016 #113 MREJESHO Kwanza simu ilianza kubweka kama mbwaa hee maajabu leo,,, likatokea lijitu la miraba minne unataka nini huku...nachungilia tu... Likasema ngoja uone,,, kasimu kakaungua sirudi tenaπ΅π΅π΅
MREJESHO Kwanza simu ilianza kubweka kama mbwaa hee maajabu leo,,, likatokea lijitu la miraba minne unataka nini huku...nachungilia tu... Likasema ngoja uone,,, kasimu kakaungua sirudi tenaπ΅π΅π΅
Papushikashi JF-Expert Member Joined Feb 28, 2016 Posts 11,351 Reaction score 13,882 Jul 22, 2016 #114 mwanawao said: MREJESHO Kwanza simu ilianza kubweka kama mbwaa hee maajabu leo,,, likatokea lijitu la miraba minne unataka nini huku...nachungilia tu... Likasema ngoja uone,,, kasimu kakaungua sirudi tenaπ΅π΅π΅ Click to expand...
mwanawao said: MREJESHO Kwanza simu ilianza kubweka kama mbwaa hee maajabu leo,,, likatokea lijitu la miraba minne unataka nini huku...nachungilia tu... Likasema ngoja uone,,, kasimu kakaungua sirudi tenaπ΅π΅π΅ Click to expand...
bintishomvi JF-Expert Member Joined Mar 21, 2015 Posts 1,164 Reaction score 833 Jul 22, 2016 #115 mwanawao said: MREJESHO Kwanza simu ilianza kubweka kama mbwaa hee maajabu leo,,, likatokea lijitu la miraba minne unataka nini huku...nachungilia tu... Likasema ngoja uone,,, kasimu kakaungua sirudi tenaπ΅π΅π΅ Click to expand... Ivi ni kweli au ? Maana wengine atujui manbo ya website tunasubiri mrejesho tujifunze kitu
mwanawao said: MREJESHO Kwanza simu ilianza kubweka kama mbwaa hee maajabu leo,,, likatokea lijitu la miraba minne unataka nini huku...nachungilia tu... Likasema ngoja uone,,, kasimu kakaungua sirudi tenaπ΅π΅π΅ Click to expand... Ivi ni kweli au ? Maana wengine atujui manbo ya website tunasubiri mrejesho tujifunze kitu
Papushikashi JF-Expert Member Joined Feb 28, 2016 Posts 11,351 Reaction score 13,882 Jul 22, 2016 #116 Deep Web
W wise-comedian JF-Expert Member Joined Aug 4, 2011 Posts 3,290 Reaction score 3,946 Jul 22, 2016 #117 Threat ya deep web kwetu wabongo sio kubwa kama ilivyo kwa whitey,kwanza wengi hatuna vitu venye thamani kwenye computer zetu kama vile record za credit cards mtandaoni,hacker akikudukua ataishia kupata file za office zisizo na maana.
Threat ya deep web kwetu wabongo sio kubwa kama ilivyo kwa whitey,kwanza wengi hatuna vitu venye thamani kwenye computer zetu kama vile record za credit cards mtandaoni,hacker akikudukua ataishia kupata file za office zisizo na maana.
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,245 Reaction score 90,421 Jul 22, 2016 #118 Deep web noma,cjui kn Chunusi huko?
Papushikashi JF-Expert Member Joined Feb 28, 2016 Posts 11,351 Reaction score 13,882 Jul 22, 2016 #119 Nimeangalia you tube hadi nimeogopa
irumba1 JF-Expert Member Joined May 10, 2013 Posts 882 Reaction score 321 Jul 22, 2016 #120 Naomba mumtag Mwl R.T.C na Chief Mkwawa huenda wakaja kutudadavulia haya mambo