Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

umejitahidi sana mkuu.
Nafikiri next time utaelezea habari za Silk road.
Kuhusu browser ipo inayoingia huko iitwayo ONION BROWSER, inapatikana playstore.
Hakikisha una weledi wa kutosha kabla ya kuingia huko. Asante
 
Very Interesting..
Ngoja nianze kufuatilia hiki kitu, Nahisi hata Annonymous Hackers hujificha huku kufanya mambo yao.

NB. Kuna uzi fulani humu jf ulikua unaongelea mambo haya ila sikua naelewa, mwenye uwezo anisaidie link.
sio sehem sahihi kutembelea lakin surf for your risk!!!
 
Nimewahi ku-download hio Tor browser na kuzama kwenye dark web. Hakika kuna mambo ya ajabu sana. Nimeona site za kuuza bangi madawa na kujifunza namna ya kuiba kwenye atm. Ni hatari sana
piaaa cia,fbi na intelijensia ya hap kwetu wapo kuangalia mambo kwa jicho la tatu kwasababu deep world akuna serikali inayowez kumonitor wanaokwenda wawe waangalifu sana
 
Mkuu,kwa kuperuzi tu kunashida?
Angalia kwa juu juu tu ,kisha potezea
sio sehem sahihi kutembelea lakin surf for your risk!!!
Tahadhali muhimu ila kupita juu juu sio mbaya
umejitahidi sana mkuu.
Nafikiri next time utaelezea habari za Silk road.
Kuhusu browser ipo inayoingia huko iitwayo ONION BROWSER, inapatikana playstore.
Hakikisha una weledi wa kutosha kabla ya kuingia huko. Asante
Silk road hii ni hatari zaidi,inachunguliwa na agency kubwa like CIA ,ishafungiwa sana hii
 
Mkuu,kwa kuperuzi tu kunashida?
amna shida lakini kuna mambo mengi ufanyika kule wadukuzi wa hali ya juu,wasambazi virus na waalifu wakubwa wenye mitandao kila nchi wapo so surf for own risk!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…