Umesharudia matapishi mara ngapi?

Umesharudia matapishi mara ngapi?

tian

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2007
Posts
1,770
Reaction score
538
Sio kila mpenzi wako wa zamani anayeomba mrudiane anamaanisha, wengine huomba kurudi ili wakutesti tu jinsi ulivyo mbulula,jinsi usivyo na msimamo na jinsi ulivyo cheap na huna misimamo wala future.

Mtu mmeachana miezi 6,leo linakutesti arudishe majeshi,na wewe ulivyo mjinga,upo upo tu,ina maana miezi yote hii ulikuwa umeganda unasubiria rehema zake ama. Kurudia matapishi yampenzi wako wa zamani ukitegemea amebadilika ni sawa na kupika sufuria la makande kwa mshumaa,utaambulia masizi tu.

Kipi kipya kakiona kwako hadi arudi,nini kilimshinda huko nyuma ambacho leo anakiweza anataka kurudi,akafie mbele huko. Kuwa na msimamo,ukisema its over umaanishe,sio unakuwa na hisia zinapepea tu kama bendera ya katibu kata wa kishumundu.

Mtu kama hajielewi achana nae,siku akijirudisha mwambie kwanza akapimwe minyoo ya kinyarwanda. Umekazana kuwaambia marafiki zako 'siku hizi hakuna mapenzi ya dhati watu wote majanga tu',nani amekwambia hayapo,yapo sana ila wewe unatumia mbinu tofauti,huwezi kusoma degree ya law halafu u-apply kazi ya chief accountant wa bodi ya tumbaku.

Kila siku utasingizia balance sheet haina jurisprudence lawyers mmenielewa,acha kudate watu wasiojielewa,usidate kwa sababu uko lonely,usiwe desperate kuingia mahusiano kwa sababu shosti zako wanakusimulia walivyopelekwa ruwenzori waterfalls.

Ingia kwenye mahusiano pale moyo wako ukiwa tayari na mtu uliyemfia kihisia na amekuwa approved na veins,auricles,na aorta za moyo wako kwamba he/she is really the one.

Unadate na mtu ambaye mustakabali wake mwenyewe haujui,ukimuuliza anataka kuwa wapi ndani ya miaka 5 ijayo anakwambia mungu anajua dont worry,halafu BBM na Instagram unajiita baby ake mie iam in love.

Utaishia kufua boxer hadi kucha zinukie gololi! Mbwa kamwe hashughuliki na kesi za paka kufungiwa kabatini.Date the right person,with right reasons,in a right time uone kama mapenzi hayapo.

Mie sipo nimepaste tu.
 
Aise umesema kweli tupu hadi raha. Kama hujaamua vizuri usitoke, vumilia. Ukisema basi na iwe basi kwelikweli. Maneno ya kujenga sana haya. Asante.
 
Yani nimecheka sana.Umeongea point sana jamani mie nikishatapika nayaflash kabisa matapishi ili nisiyaone
 
Daah!! Uandishi wako sijui ukoje na sijui ni style gani ya uandishi? Yaani stori ndefu lakini haina hata paragraphs na kila neno unaanza na herufi kubwa.
 
Kwa anaejitambua harudii matapishi, na kinyume chake......
 
hizo termilogy zilizotumika humo ndan sasa!! ni hasira tupu
 
Mtu mkishaachana ina maana mmechokana,au kushindana kurudiana ni kuonesha umekubali udhaifu wake na ni ujinga
 
Sio kila mpenzi wako wa zamani anayeomba mrudiane anamaanisha, wengine huomba kurudi ili wakutesti tu jinsi ulivyo mbulula,jinsi usivyo na msimamo na jinsi ulivyo cheap na huna misimamo wala future.

Mtu mmeachana miezi 6,leo linakutesti arudishe majeshi,na wewe ulivyo mjinga,upo upo tu,ina maana miezi yote hii ulikuwa umeganda unasubiria rehema zake ama. Kurudia matapishi yampenzi wako wa zamani ukitegemea amebadilika ni sawa na kupika sufuria la makande kwa mshumaa,utaambulia masizi tu.

Kipi kipya kakiona kwako hadi arudi,nini kilimshinda huko nyuma ambacho leo anakiweza anataka kurudi,akafie mbele huko. Kuwa na msimamo,ukisema its over umaanishe,sio unakuwa na hisia zinapepea tu kama bendera ya katibu kata wa kishumundu.

Mtu kama hajielewi achana nae,siku akijirudisha mwambie kwanza akapimwe minyoo ya kinyarwanda. Umekazana kuwaambia marafiki zako 'siku hizi hakuna mapenzi ya dhati watu wote majanga tu',nani amekwambia hayapo,yapo sana ila wewe unatumia mbinu tofauti,huwezi kusoma degree ya law halafu u-apply kazi ya chief accountant wa bodi ya tumbaku.

Kila siku utasingizia balance sheet haina jurisprudence lawyers mmenielewa,acha kudate watu wasiojielewa,usidate kwa sababu uko lonely,usiwe desperate kuingia mahusiano kwa sababu shosti zako wanakusimulia walivyopelekwa ruwenzori waterfalls.

Ingia kwenye mahusiano pale moyo wako ukiwa tayari na mtu uliyemfia kihisia na amekuwa approved na veins,auricles,na aorta za moyo wako kwamba he/she is really the one.

Unadate na mtu ambaye mustakabali wake mwenyewe haujui,ukimuuliza anataka kuwa wapi ndani ya miaka 5 ijayo anakwambia mungu anajua dont worry,halafu BBM na Instagram unajiita baby ake mie iam in love.

Utaishia kufua boxer hadi kucha zinukie gololi! Mbwa kamwe hashughuliki na kesi za paka kufungiwa kabatini.Date the right person,with right reasons,in a right time uone kama mapenzi hayapo.

Mie sipo nimepaste tu.
Not me, when its over there is no way back .
 
matapishi khaaaaa najenga picha kichwani naona maruerue tu ptuuuuuu
 
je kama tunakumbushia tu bakurutu kimtindo ntakua mbulula bado??? Preta msaada tutani hebu nidadavulie mi ni mbulula au dearest bakurutu
 
Last edited by a moderator:
hizo termilogy zilizotumika humo ndan sasa!! ni hasira tupu

Watu wana mentality za kigomvi. unaye muita matapishi ni mtu uliyekwisha mpa uchi wako?
je ipo wapi nafasi ya msamaha katika maisha maana angejiuliza je ulishawahi kusamehewa katika kosa lolote if yes why not in love?
Tatizo la watu kuishi kwa kuangalia majirani watasemaje? maana kuna walio move on na kugundua kwamba mahusiano ya nyuma yalikuwa na changamoto zinazo vumilika tofauti na alikokwenda.kwanini tusirudiane na mpenzi wangu kama sote tumeridhia??????
 
Tusidanganyane mapenzi hayana formula kama mmefika wote mkatambua mapungufu yenu why not, inategemea na kilichopelekea mkaachana. Kama nimeona mapungufu yake yanaweza kuvumilika isee nitarudia tu hayo matapishi. Usiishi kwa kumuiga Jirani kila mahusiano ni ya kipekee
 
Back
Top Bottom