Umepataje namba Yangu?

Umepataje namba Yangu?

Mimi ndio maana sichukui namba ya mtu asiyenijua kwa mtu mwingine usumbufu wa maswali km haya..namm ukinitumia msg au kupiga nikakuuliza ww nani ukashindwa kunyoosha maelezo ndio mawasiliano yanaishia hapo
 
Bora yako umejiepusha na mengi
 
Mi huwa nawaahidi kwamba nitawaambia siku nyingine. Kwani aliye nipa simu ni mtu wangu wa karibu sana na anamuheshimu sana.
 
Alafu hili swali mnalipenda sana sijui kwa nini yaani? 😤
 
Back
Top Bottom