MKUU MWANAMKE yeyote ambaye hakuulizi swali hilo ni wa kuogopa sana,,,,DUNIA ya sasa imebadilika sana,,,Mimi nilishawahi KUCHAT NA X GIRLFRIEND WANGU KUMBE NACHT NA MUMEWE BILA KUJUWA,,NILIGUNDUWA MWISHONI KABISA,,NA NILICHOMJIBU HUYO MUMEWE ALIAMUA KUNIPIGIA SIMU BADALA YA KUCHT,,,WATU wengi wanaingia ktk matatizo kwa kudeal na namba usizozijuwa,,,Mara nyingi wanawake wanaogopa KUJARIBIWA,,,au KUKOMOLEWA,,Nina maana anaweza boy friend wake akampa MWANAUME mwenzie number ili amjaribu girlfriend wake kama ni muaminifu,,,,au MWANAMKE kuna mtu ana matatizo nae akaamua KUMPA namba MWANAUME ili asex nae amkomoe,,,ndy maana ya kuulizana swali hilo,,ila kuna MBINU nyingi za kukwepa swali hilo na akaridhika kabisa,,,wacha iwe siri yangu..... Mimi huwa Mfano nikimtaka MWANAMKE na namba zake ninazo huwa nakosea tigo pesa,, pesa zinaingia kwake...halafu simuulizi...ni lazima apige SIMU,, hapo ndy najieleza vzr lakini namwambiya hyo ni bahati yako..nimekosea namba mrembo,,,halafu naomba nisave contact,,,.baada ya siku mbili tatu..halafu anza kucht nae. ILI ASINISAHAU....ukimsifia umependa sauti,,kwa zama zile bila whtsap,,,lakini kwa sasa ni rahisi sana ,,kujieleza kwa picha zake za profile,,,kuanza kumsifia uzuri wake,,hapo hakuna swali la umepata wapi namba ZANGU ..... ..zamani nilikuwa natumia MBINU ya wrong number,,naweza kupiga simu nikitoa maelekezo kuhusu pesa Fulani ,,au kuhusu kumalizia UJENZI FULANI,,,,baadae nagundua kumbe nimekosea namba,,,lakini kutokana na Yale maelezo yangu ya mwanzo ,, yule MWANAMKE nitamchanganya sana,,tena atatamani anione,,,,lakini kuna MIDUME domo zege ikibanwa,,INASEMA namba kanipa FULANI..kwahyo hyo MBINU hiyo kwa sasa haifanyi kazi....
Sent using
Jamii Forums mobile app