"Umepata wapi namba yangu?" Inaboa kwakweli

Ndio maana unafeli vitu vingi
Hiyo MBINU sijawahi shindwa....hao wanaotumia na kushindwa wanapapara....Mimi ndy muanzilishi wa wrong number..zamani ilifanya kazi,,,sasa haifanyi kazi sababu ya wanaume PAPARA,, Leo anapiga simu ,Leo anaanza chati..kama huniamini njoo pm toa namba ya MWANAMKE yeyote ,,,halafu nipe,,nitakupa marejesho nipo MAPAJANI KWAKE...ninachokifanya NI KUVUA CHUPI...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me bado nashangaa 🙄

Demu unatumiwa SMS au unapigiwa na namba ambayo huijui na mwanaume,

Anakueleza shida yake kuwa amekupenda, alikuona mahali, amekufuatilia mpaka amepata namba yako ya simu, alafu wewe inaishia kumwuliza "umepata wapi namba Yangu?!"

Alafu hapo una Miaka 30, upo singo, umechanganyikiwa, kengele ya uzazi inalia, unamlaumu Mungu, Dunia na kukuuliza wapi uliyakosea Maisha 🏃🏃🏃 si Bora ushukuru Mungu Kwa Huyo mjeda kukuhangaikia na kumsikiliza Kwanza badala ya kuuliza maswali ya kipuuzi?!

Ingekuwa NI Mimi napigiwa na MTU ambae sijui kapata wapi namba yangu ningemjibu kama anavyojibu dadaetu WA Arusha 😂
1. Kama ni simu kapiga
Stranger: Habari dada
Mimi: nzuri Kaka
Stranger: za kushinda?!
Mimi: salama, habari ya majukumu
Stranger: nzuri kabisa namshukuru Mungu
Mimi: ndio Kaka, karibu nikusaidie.
Stranger: Dada samahani naweza kukuona
Mimi: Bila samahani, lakini sijajua naongea na Nani?!
Stranger: naongea na Abdalah
Mimi: oh Abdalah, ok Abdalah WA wapi jamani
Stranger: Abdalah WA Buza😂😂😂
Mimi: ok Kaka,
Abdalah: ningependa tuonane tuongee maana nikiongea kwenye simu sitaweza kujieleza vizuri kama nikikuona live
Mimi: hamna neno kaka
Abdalah: tunaweza kuonana popote ambapo kwako ni rahisi kufikika
Mimi: Bila shaka, Ila Kwa sasa nimesafiri, nipo Mkoa nikirudi tutawasiliana Kwa ajili ya kuonana
Abdalah: Sawa asante Sana dada, tutawasiliana basi
Mimi: karibu
Simu inakatwa

Unaona sasa, hapo Abdalah umemwacha njia panda ya Buza, akiwa na matumaini ya kuonana na wewe lakini umejibu kistaarabu sio Kwa kejeli wala dharau

Huwezi jua Abdalah anamsaada gani kwako, huenda abdala akawa amekupenda lakini ana rafkiake anaitwa Juma ambae ndio Mungu amekupangia akuoe.
Au Abdalah akawa anajua dili la KAZI, biashara, viwanja na mashamba, akakusaidia pale mapenzi yatakapofeli

Jamani wale wenye maswali ya umepata wapi namba yangu naombeni mbadilike muwe kama dada WA Arusha anavyojibu akipigiwa simu😂😂😂😂, maisha sio namba ya simu Tu, kuna watu wanatamani hata wapigiwe na Huyo Abdalah lakini hawapati🏃🏃🏃🏃🏃
Namba yako nimepata TCRA period. 😎😎
 
Hiyo MBINU sijawahi shindwa....hao wanaotumia na kushindwa wanapapara....Mimi ndy muanzilishi wa wrong number..zamani ilifanya kazi,,,sasa haifanyi kazi sababu ya wanaume PAPARA,, Leo anapiga simu ,Leo anaanza chati..kama huniamini njoo pm toa namba ya MWANAMKE yeyote ,,,halafu nipe,,nitakupa marejesho nipo MAPAJANI KWAKE...ninachokifanya NI KUVUA CHUPI...

Sent using Jamii Forums mobile app
Akyanani
Labda ulioandika HADITHI utauza Vitabu, lakini Kwa Hali ya kawaida labda uweke risiti hapa tuone ndio tutaamini
 
hahahah jf pimbii zmejaaa humu
 
Nimekwambiya kama una namba ya mrembo,,,weka pm...halafu nitakupa habari zake,,labda umwambiye kuna jamaa atatumia MBINU hii...Mimi nilishawahi kula MTU na MZAZI wake bila kujuwana,,MTU na mdogo wake wa DAMU bila kujuwana,,,nishakula MTU na shoga yake KITANDA kimoja,,,usiku mmoja bila kujuana,,,sasa hyo ya namba umeitoa wapi itanishinda nn?weka namba pm..awe mtoto MKALI ili niumize kichwa,,,usije ukanipa namba ya GARI LA JESHI...
Akyanani
Labda ulioandika HADITHI utauza Vitabu, lakini Kwa Hali ya kawaida labda uweke risiti hapa tuone ndio tutaamini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sababu nishakwambiya njia ZANGU,, so kila ninachokileta utakiona hakina HOJA...ila nakwambiya zipo MBINU nyingi na ZINGINE sisiweki hapa,,,,nitakufungua macho..zipo 1000 ways za kutongoza....pengine unazijuwa 3 tu..vipi hizo 997 ways....?
Hizo namba zipo Sana hata ukiwa Bongo unazitengeza kwenye whatsapp, so hamna jipya chini ya Jua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekwambiya kama una namba ya mrembo,,,weka pm...halafu nitakupa habari zake,,labda umwambiye kuna jamaa atatumia MBINU hii...Mimi nilishawahi kula MTU na MZAZI wake bila kujuwana,,MTU na mdogo wake wa DAMU bila kujuwana,,,nishakula MTU na shoga yake KITANDA kimoja,,,usiku mmoja bila kujuana,,,sasa hyo ya namba umeitoa wapi itanishinda nn?weka namba pm..awe mtoto MKALI ili niumize kichwa,,,usije ukanipa namba ya GARI LA JESHI...

Sent using Jamii Forums mobile app
Me sina namba ya mrembo
Nina namba ya wanawake Umri wangu Miaka 63 sidhani Kama watahitaji wajukuu wa kuwazaa🚶🚶
 
Back
Top Bottom