"Umepata wapi namba yangu?" Inaboa kwakweli

Me bado nashangaa 🙄

Demu unatumiwa SMS au unapigiwa na namba ambayo huijui na mwanaume,

Anakueleza shida yake kuwa amekupenda, alikuona mahali, amekufuatilia mpaka amepata namba yako ya simu, alafu wewe inaishia kumwuliza "umepata wapi namba Yangu?!"

Alafu hapo una Miaka 30, upo singo, umechanganyikiwa, kengele ya uzazi inalia, unamlaumu Mungu, Dunia na kukuuliza wapi uliyakosea Maisha 🏃🏃🏃 si Bora ushukuru Mungu Kwa Huyo mjeda kukuhangaikia na kumsikiliza Kwanza badala ya kuuliza maswali ya kipuuzi?!

Ingekuwa NI Mimi napigiwa na MTU ambae sijui kapata wapi namba yangu ningemjibu kama anavyojibu dadaetu WA Arusha 😂
1. Kama ni simu kapiga
Stranger: Habari dada
Mimi: nzuri Kaka
Stranger: za kushinda?!
Mimi: salama, habari ya majukumu
Stranger: nzuri kabisa namshukuru Mungu
Mimi: ndio Kaka, karibu nikusaidie.
Stranger: Dada samahani naweza kukuona
Mimi: Bila samahani, lakini sijajua naongea na Nani?!
Stranger: naongea na Abdalah
Mimi: oh Abdalah, ok Abdalah WA wapi jamani
Stranger: Abdalah WA Buza😂😂😂
Mimi: ok Kaka,
Abdalah: ningependa tuonane tuongee maana nikiongea kwenye simu sitaweza kujieleza vizuri kama nikikuona live
Mimi: hamna neno kaka
Abdalah: tunaweza kuonana popote ambapo kwako ni rahisi kufikika
Mimi: Bila shaka, Ila Kwa sasa nimesafiri, nipo Mkoa nikirudi tutawasiliana Kwa ajili ya kuonana
Abdalah: Sawa asante Sana dada, tutawasiliana basi
Mimi: karibu
Simu inakatwa

Unaona sasa, hapo Abdalah umemwacha njia panda ya Buza, akiwa na matumaini ya kuonana na wewe lakini umejibu kistaarabu sio Kwa kejeli wala dharau

Huwezi jua Abdalah anamsaada gani kwako, huenda abdala akawa amekupenda lakini ana rafkiake anaitwa Juma ambae ndio Mungu amekupangia akuoe.
Au Abdalah akawa anajua dili la KAZI, biashara, viwanja na mashamba, akakusaidia pale mapenzi yatakapofeli

Jamani wale wenye maswali ya umepata wapi namba yangu naombeni mbadilike muwe kama dada WA Arusha anavyojibu akipigiwa simu😂😂😂😂, maisha sio namba ya simu Tu, kuna watu wanatamani hata wapigiwe na Huyo Abdalah lakini hawapati🏃🏃🏃🏃🏃
Umepata wapi namba yangu?
Usipojibu hata mimi sikusikilizi, hata ukiomba kazi lazma useme ulipoona tangazo la kazi, usiposema huenda wewe umeunganishiwa na Mabosi wa ndani wanao-sex na wewe
 
Umepata wapi namba yangu?
Usipojibu hata mimi sikusikilizi, hata ukiomba kazi lazma useme ulipoona tangazo la kazi, usiposema huenda wewe umeunganishiwa na Mabosi wa ndani wanao-sex na wewe
Sawa mjeda, hongera Kwa hofu
 
MWANAMKE hawezi badili namba sababu ya pesa,atadhani katumiwa na MTU,,, akikupigia jieleze ,,,halafu mwambiye,, asihofu achukuwe tu,,ni riziki yake,,ila omba ni save namba,huenda siku nikakutafuta..nikusalimie mrembo mwenye bahati... Hapo umeshinda,,TATIZO MIDUME midomo zege ndy shida ikishajuwa MBINU inamwaga kwa mabinti halafu mbinu haifanyi kazi tena..

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu unaongea kwa uchungu sana mi pia nakuunga mkono ni kama kipindi flani vifurushi vya vodacom vya pinduapindua ulikua unajiunga bure kuna mpuuzi mmoja akawapigia vodacom kuwaambia...
 
mkuu unaongea kwa uchungu sana mi pia nakuunga mkono ni kama kipindi flani vifurushi vya vodacom vya pinduapindua ulikua unajiunga bure kuna mpuuzi mmoja akawapigia vodacom kuwaambia...
Akawaambia nini Vodacom??😂😂😂
 
Ukiacha mambo ya namba za simu, kuna wadada wana hali ya kuringa nakujiona wapo katika level flani za kufikirika. Yani unakuta sura ya babake mkubwa, shape ya kaka yake, kipato na elimu ya kawaida sana , unabaki unajiuliza hii nguvu anaitoa wapi. Mwanamke sio lazima awe mrahisi kwa mwanaume yeyote lakini kuna kitu ustaarabu na hekima .
 
Hiyo ndy shida, watu wasio waaminifu au sijuwi MIDOMO ZEGE NDY WALIOHARIBU PIN CODE ZA WRONG NUMBER,,,, lakini ILIKUWA ubwete kabisa..NIKIPIGA wrong number sikuwahi kumkosa DEMU.....NAKUMBUKA siku moja nipo south Africa,,,kuna demu mmoja hapa BONGO ,,,alikula pesa za jamaa yangu Fulani,,,nyingi tu,,MTOTO ALIKUWA MKALI SANA,,,lakini kutoa PAPUCHI HATAKI,,,KAMSUMBUWA SANA JAMAA,,ikabidi yule RAFIKI YANGU akanikabidhi jukumu la KUMGEGEDA YULE DEMU MSUMBUFU,,,ili at least APOZE MACHUNGU,,,,.jamaa alinipa namba za yule demu,,,,nikaruka hewani nikiwa south Africa,,,nikiwa pale nikabadili call nikaweka PRIVATE MODE..basi ikawa yule demu akapokea simu IKIONYESHA PRIVATE NUMBER,,,,,,alikuwa mtoto MKALI sana,,hata sauti yake ilijitosheleza kuamini hivyo..nakumbuka ILIKUWA 2014 ,,,nilipiga simu mbele ya yule jamaa yangu wote tukiwa south Africa,,,, basi nikaanza maongezi ,,,HELLO,,, mambo vipi?mbona nimetuma pesa western union za VIGAE NA ZA ADA YAKO YA CHUO MBONA FUNDI ANASEMA HAJAPATA PESA...KWANI PESA HUJACHUKUWA? ni siku ya 3 sasa,,,na CODE NISHAKUPA TATIZO NN?basi Yule demu akaanza kuuliza ,,,wewe nani?nikajitambulisha nikamwambiya nipo GREECE MELINI, , WEWE SIO FATUMA?akasema sio mimi SALAMA,,,wa wapi?akanambiya MAGOMENI,,,nikamwambiya ,,sorry itakuwa nimekosea namba,,BASI NAOMBA NISAVE NAMBA ZAKO,,,NISIKOSEE TENA,,,baada ya siku tatu nikapiga tena nikamwambiya kesho nasafri NARUDI south,, nilikuwa nakuaga mrembo,,,akasema nataka Zawadi ya simu,,,,,nikamwambiya pale SOUTH NDY pana simu nzr sana,,akaagiza SAMSUNG,,,basi nikamwambiya nikifika nakupigia kwa namba zngu za MKONONI za south,,,Hii simu ya ofisi....basi baada ya week moja nikampigia kwa +277 namba za south,, tukaanza kuchat sasa,,, nikamwambiya baada ya week 2 NARUDI bongo hapo anifate airport.. Kweli baada ya week mbili nikaingia hapo KIPAWA ,,,yule jamaa yangu alitangulia kurudi week kabla yangu,,,nikiposhuka,,kuna gari ilinifata,,,DUDE MOJA black,, left hand land rover ,,,,mimi pamoja na yule mtoto,,moja kwa moja hadi magomeni,,, nikampaki sehem ,NIKAMWAMBIYA KUNA JAMAA NAPASWA NIMPE MIZIGO YAKE,,KUNA PESA ATANIPA,,ILIKUWA MBINU ya kujichelewesha pale,,,,,nikamtext jamaa njoo uthibitishe,,jamaa akapita akasalimia pale,,,LAKINI kama hatujuani,,,yule demu akaanza kumponda jamaa,,mambo kibao,,Mimi nikafanya kama nalia wivu,,,DEMU AKANAMBIYA BORA TUONDOKE,,,nikaondoka nae hadi TORA BORA,,,MAKAO MAKUU ya OSAMA BIN LADEN..,nilikesha nae siku mbili,,, mtoto alinielewa sn ,,, lile wazo la KUGEGEDA NIMUACHE SIKUWA NALO TENA,,, JAMAA YANGU nikawa nampa updates,,,ya KINACHOFANYIKA PALE KWANGU,,,,baada ya siku 2 yule demu nikamrudisha kwao,,, ,,TUKAWA tunawasiliana sana tu,,,, week baadae Yule DEMU ananipigia simu,,,,kumbe Yule jamaa yangu niliyekuwa nae south,,,na ndy yule aliyenipa namba za yule DEMU,,,, uvumilivu ulimshinda ikabidi amwambiye yule DEMU ukweli,,kwamba Mimi sikuwa GREECE,,na ni jamaa yake ,alifanya vile ili DEMU NIMGEGEDE,,,..basi yule demu ilimuuma SNA,,,maana alikuwa na mipango serious na.mm tuishi wote. Na mm nimimpenda hatari,,alikuwa Bonge la demu...JAMAA AKAHARIBU KILA KITU,,,JAMAA NILIMNUNIA MWISHOWE TUKAONGEA...,,,hayo ndy mambo ya wrong number enzi zake,,, sasa hakuna tena,,pin code zote washazifunguwa MIDOMO ZEGE...
mkuu unaongea kwa uchungu sana mi pia nakuunga mkono ni kama kipindi flani vifurushi vya vodacom vya pinduapindua ulikua unajiunga bure kuna mpuuzi mmoja akawapigia vodacom kuwaambia...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom