Kuwa muwazi tu,funguka,twambie usiku wa kuamkia leo umeota nini?
Bishanga nimeota gfsonwin ananitongoza,nikamtolea nje kudadadeki,chezeiya bishanga mi natoka na wanawake wa kitasha tu.
Nimeota na mapesa mengi kama mobutu seseseko kuku wazabanga ndio nilikuwa kwenye mkutano na management ya wizara ya ardhi waniuzie mikumi yote ndio ile nataka kudondoka sign tu alarm ya simu ikaita saa 12 asubuhi nikastuka!