ACT Wazalendo
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 620
- 1,543
"Tunarudia kuwa tulimwunga mkono toka mwanzo katika vita dhidi ya ufisadi kwani ni vita muhimu na lazima ipiganwe bila kujali itikadi za vyama. Hakuna namna unaweza kumlaumu Rais anapochukua hatua za kusafisha uvundo katika nchi. Tutaendelea kumwunga mkono katika eneo hilo.
Wananchi, hata hivyo Rais anatia hofu mno katika ujenzi wa mfumo wa uwajibikaji. Tanzania ina vyombo vya kuimarisha uwajibikaji ikiwemo Bunge la Ofisi ya Ukaguzi ya Taifa. Rais anataka kupigana dhidi ya ufisadi nje ya mfumo jambo ambalo ni la hatari sana kwa nchi kwani akitoka yeye tutaanza upya. Inawezekanaje Kiongozi anayepambana na rushwa akavunja nguvu ofisi ya ukaguzi ya Taifa kwa kumnyima Bajeti CAG? Rais amediriki hata kuvunja Katiba na sheria ya ukaguzi kwani Bajeti ya CAG haipangwi na Serikali bali hupangwa na Kamati ya Bunge. Hata hivyo Rais ameenda kinyume na sheria na badala yake kapanga mwenyewe Bajeti ya CAG? Toka lini mkaguliwa akapanga bajeti ya anayemkagua? Kamati ya Bunge ilipanga Bajeti ya tshs 69 bilioni kwa CAG lakini Serikali ( mkaguliwa ) imeipiga panga mpaka tshs 32 bilioni. Hii ni moja ya mfano dhahiri kabisa wa Serikali kuanza kuvunja vunja vyombo vya uwajibikaji."
Zitto Kabwe
Juni 5, 2016
Mbagala, Dar Es Salaam.
Leo nasoma magazetini kuwa CAG analia ukata. Watawala wote duniani wasiotaka uwajibikaji huvunja vunja vyombo vya Uwajibikaji. Tulipoyasema haya mwaka Jana tulionekana kuwa tunapiga porojo tu. Leo tutasema nini ?