Umeona vifua hivi ?

hata hivyo vifua ulikuwa ni ushamba tu mwisho wa yote watu waliishia kupeana nyau na dushelele tu.
 
Kwangu mimi hivyo siyo vifua, maana ukiunganisha vinne ndiyo vinalingana kifua changu (ona picha yangu hapo juu). Hivyo ni vifua vya ugali tu, changu ni kifua cha vyakula vya pesa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…