unaturudisha agano la kale na sharia law sio? kwa nini huyo pichani asiwe miongoni mwa walioonewa? kama kweli yanastahili kuwakuta kwa nini polisi huingilia kama hapo wanavyofanya hao? japo wanaonekana kufanya kinafiki. hizo adhabu wanaastahili kupewa na raia au dola? hivi unajua ukimuua aliyemkata albino mkono dola haitakusifu bali utaadhibiwa na dola?
Kuna mwenye hiyo picha ikiwa na resolution kubwa zaidi? Kama hamna....nawashangaa sana mnaokimbilia kuconclude....
ni kweli huyo pichani anaweza akawa muonewa...equally inawezekana kajisababishia matatizo...so we should not be conclusive.
Mara nyingi watu huchukua sheria mkononi kwa sababu ya kutokuwa na imani na utendaji wa vyombo vya sheria...then sheria inatambua manslaughter as opposed to murder..inatambua kuwa kuna wakati mtu anaweza akatendewa kitu ambacho it is likely to invoke uncontrollable anger
"you can choose to anger me, but you cant choose my reaction"[/QUOTtE]
hiyo manslaughter nayo ina muda na aina ya kosa. hayo hujayaona?
Nikimuangalia askari ambaye hacheki naona kama anatend to move in a direction away from the tukio..then huyo anayecheka ni kama kuna kitu amegundua (kama mtu anayerealize false alarm anavyocheka) ukiangalia "mtu" anayeungua..cheki distance toka kiunoni kwenda chini...then kutoka hapo chini mpaka kwenye viatu..na the way viatu vilivyokaakaa
something doesnt add up!!!
unatumia simu kuangalia hiyo picha?
And in your view the picture under discussion shows an act of punishment after proof?nice insert there...unless proven, it is wrong...so if proven?
Be clear what are you suggesting?Nikimuangalia askari ambaye hacheki naona kama anatend to move in a direction away from the tukio..then huyo anayecheka ni kama kuna kitu amegundua (kama mtu anayerealize false alarm anavyocheka) ukiangalia "mtu" anayeungua..cheki distance toka kiunoni kwenda chini...then kutoka hapo chini mpaka kwenye viatu..na the way viatu vilivyokaakaa
something doesnt add up!!!
And in your view the picture under discussion shows an act of punishment after proof?
nikisema we ni nyoka namaanisha nini?
Be clear what are you suggesting?