Umeona nini?

Huo sio mfano mtu anaungua anacheka unatetea!!!!
 
Huo sio mfano mtu anaungua anacheka unatetea!!!!

Sijatetea...nimejaribu kupoint out kwamba sio kila sura ya tabasamu inakuwa tabasamu la furaha..watu wana njia tofauti za kuonyesha reaction

Again mimi na wewe hatujui huyu victim kafanya nini..ingawa naamini wewe huwezi kumchoma mtu moto lakini kuna mazingira ambayo unaweza jua aliyechomwa kafanya nini ukacomment "serves him right!!" mimi nisiwe mnafiki siku nikikuta Kibwetere kachomwa moto sitaishia kucheka...nitashangilia waziwazi
 
Reaction ya binadamu kuona roho ya binadamu mwingine ikitoka tena kwa maumivu unafananisha na reaction ya wanamichezo kwenye michezo?

Hivi kuna mwingine kaona huu utumbo hapa au labda hii laptop inanifanya nishindwe kusoma vizuri.
 
Katika safari yako ya maisha mpaka sasa ulishawahi kugongwa na kitu chochote kizito kichwani, au kuangukia kichwa?
 
kuna kupendezewa na kitu na kutopendezewa na kitu...tofauti ni degree ya feeling ya hivyo vitu...inawezekana kweli hiyo laptop inakufanya

roho ya binadamu kutoka kwa maumivu is one thing..kwa nini ikutoke is another thing...kuna wanaostahili kutokewa na hayo..kuna wanaotokewa na hayo kwa kuonewa
 
Inkhubu unless unaishi kwenye uncivilised societies za ISIS, sisi huku kwenye dunia tunayojaribu kuishi kwa ustaarabu ili tutofautiane na wanyama wengine wa porini, basi kitendo cha kuchoma mtu hadharini au hata kuua bila due process of justice ni unyama, ujinga uliokubuhu. Na mtu anaeshabikia hilo kama wewe, hawezi kuwa na akili timamu hata kidogo.
Even if huyo mtu ka rape mtoto mdogo hadi kifo, unless proven, it is an outrageous barbaric and moronic act to burn him in public.
It is an insult to you yourself as an intelligent human being. Tuna jitusi kukubali binadamu wengine kufanywa hivyo zaidi ya wanyama. Why can't we see that?
 
Last edited by a moderator:

Misingi yetu ya maadili na fikra ni tofauti sana, naweza kuwa na mafanikio zaidi nikienda kumfundisha mbwa wangu kutumia choo cha ku flush kuliko kujaribu kukueleza wewe upotofu wa reasoning yako.
 
I choose to ride with your matusi..mtu kutofautiana na wewe mtazamo sio lazima mitusi ikutoke..isipokuwa kama ndo definition ya civilization uliyoihubiri kwenye hii comment!!!

I am for an eye for an eye..huyo aliyemchoma moto jamaa kwenye picha ikitokea kamchoma kwa uonevu basi huyo mchomaji akikamatwa akachomwa moto kwangu it is ok
 
Misingi yetu ya maadili na fikra ni tofauti sana, naweza kuwa na mafanikio zaidi nikienda kumfundisha mbwa wangu kutumia choo cha ku flush kuliko kujaribu kukueleza wewe upotofu wa reasoning yako.

Quite right...you seem to be more in understanding with dogs rather than human beings!!!
 
Katika safari yako ya maisha mpaka sasa ulishawahi kugongwa na kitu chochote kizito kichwani, au kuangukia kichwa?

Last time mzazi wako wa kike alijaribu kurusha kitu kizito nikakikwepa..after something she was not satisfied with!!!
 
Last time mzazi wako wa kike alijaribu kurusha kitu kizito nikakikwepa..after something she was not satisfied with!!!

Nimefatilia michango yako nimeona wewe ni mtu usie na huruma,halafu bila kufikiri kwamba hujafa hujaumbika, udumu wewe mjanja kuliko wengine
 
Nimefatilia michango yako nimeona wewe ni mtu usie na huruma,halafu bila kufikiri kwamba hujafa hujaumbika, udumu wewe mjanja kuliko wengine

Mkuu una haki ya kuona ulichokiona...na hapa hatuonyeshani ujanja..ni kila mtu na view zaku kuhusu mambo yanayoendelea duniani..sijui hata wazo la ujanja umelitoa wapi?

Na suala la huruma huo ni mtazamo wako tuu...summary yangu ni kuwa kuna watu wanapata majanga kwa bahati mbaya/kwa kuonewa na hao wanahitaji huruma na kuna watu ambao yanayowakuta yanakuwa stahiki yao...."With the merciful doeth showeth Thyself merciful...."
 
nice insert there...unless proven, it is wrong...so if proven?
 
Kuna mwenye hiyo picha ikiwa na resolution kubwa zaidi? Kama hamna....nawashangaa sana mnaokimbilia kuconclude....
 
Reaction ya binadamu kuona roho ya binadamu mwingine ikitoka tena kwa maumivu unafananisha na reaction ya wanamichezo kwenye michezo?

Hivi kuna mwingine kaona huu utumbo hapa au labda hii laptop inanifanya nishindwe kusoma vizuri.

jamaa hashauriki wala hataki kuwa rational. hata kama ni mhalifu polisi wana maadili yao ya kazi. raia wanaweza shangilia tukio kama hilo ila si polisi. nimrudishe huyu jamaa michezoni. nadhani huwa haoni wakati shabiki au mchezaji katoa ishara fulani na hiyo ishara ikaamsha ghadhabu hadi kuchafua hali ya hewa ndani na nje ya uwanja. jamaa anaelewa sema tu kuna vitu vyake atakuwa anavijaribia hapa
 
unaturudisha agano la kale na sharia law sio? kwa nini huyo pichani asiwe miongoni mwa walioonewa? kama kweli yanastahili kuwakuta kwa nini polisi huingilia kama hapo wanavyofanya hao? japo wanaonekana kufanya kinafiki. hizo adhabu wanaastahili kupewa na raia au dola? hivi unajua ukimuua aliyemkata albino mkono dola haitakusifu bali utaadhibiwa na dola?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…