Umeona nini?

naomba nisaidie njia uliyotumia kuderive na kufikia conclusion kuwa ni raia wa kigeni...and what did the burning guy do?

Kwasababu ndio wanaandamwa waondoke South Africa na wenyeji kwakuuliwa kama hivyo. Kuhusu polisi angalia jins sura yake inavyoonyesha nikama mtu asiyetaka kutoa msaada anashangaa tu. Mashav meno nje anaonekana kuchekelea. Picha inajieleza mkuu
 

naomba nisaidie njia uliyotumia kuderive na kufikia conclusion kuwa ni raia wa kigeni...and what did the burning guy do?

Dah! we mtu mzima kweli? Unaleta mambo ya sport kwenye maisha ya watu? Ni kweli katika hali kama hiyo pichani unaweza kukenua meno? Kwa lipi? Lazima utakuwa abnormal and sadist.


hiyo hoja yako ya pili, bado wewe ni binadamu? Unaishi wapi? Usilete nadharia za darasani na sheria uchwara kwenye hali halisi
 
Alichosema Botha miaka mingi iliyopita tunaanza kukielewa sasa. Kweli aliwajua vizuri blacks wa huko kwao.
 
​daaaahhh so sad yani jamaa anachekelea kabsaaa badala ya kuokoa
 
Alichosema Botha miaka mingi iliyopita tunaanza kukielewa sasa. Kweli aliwajua vizuri blacks wa huko kwao.

hata mi nimeanza kuamini hivyo. this may apply to majoriry of africans regardless of our places of origin
 
wasouth wana roho mbaya sana wase.nge wale mxxxuuuuuu hasa hawa wazuru,kukupiga risasi kwa buku wala hawaoni shida wao...
 
Sishangai wao kutawaliwa kikaburu kwani hata mimi ningekuwa na uwezo ningewasaidia ndugu zangu wanaouwawa sasa ikibidi tuwatawale tena

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Akichomwa mtu mweusi sawa.Angekuwa mweupe na sisi tungeshiriki kulaani. Mweusi mwenzako anachomwa unafurahia? Halafu tukitukanwa kuhusu ubinadamu wetu tunakuja juu.
Acheni inferiority complex za hovyo kama hizi. Kwa taarifa yako hata hawa weupe huwa wanachukiana wao kwa wao sema tu kwa vile vyombo vya habari viko makini kuficha uchafu wao. Mnakaririshwa na ninyi mnarudia rudia kama kasuku daaaamn, will you come out of this mental slavery one day?
 
naomba nisaidie njia uliyotumia kuderive na kufikia conclusion kuwa ni raia wa kigeni...and what did the burning guy do?

Huyu wa fb yupo dunia gani hajui yanayo jili duniani kwa Sasa Na hiyo picha siyo ngeni iko kwenye kurasa za Mbele vyombo vingi vya habari Duniani
 

body language tells everything, don't argue shit you blood idiot! you can't compare actions happening in a soccer game with such burning of a person! you are swine! Can you find for me a father laughing at his son/daughter who has just been involved in a serious car accident!!? Dunderhead!
 

yeah..to the abnormal person a normal one becomes abnormal...a hear is a heart iwe katika sports au popote

Ni watu kama nyie ambao mna-cram vitu kichwani ndo mnaojinyina uwezo wa kufikiria..to you everything has just one face...baas...get out of the box man and think...not everything is black and white as you seem to think


As for that picture bora ungekuwa na half-brain ukasema hizo uniform ni za askari wa south africa...lakini the issue of burning people haiko confined kwa wasouth peke yao..hata manzese wanachoma watu joker!!!

Na kwa issue ya watanzania huko south, I have been there, na though I dont justify kumchoma binadamu mwenzangu still sio wote wanaoonewa..kuna wenzetu wanakwenda huko na kujihusisha na wizi...wengine wanajifanya mahodari wa kutembeza kidole cha 21 kwa wake za watu...what do you expect?...its a mixed situation..wengine wanaonewa wengine wakosefu
 

I will just tell you one thing...nikikuta watu wanamchoma mmojawapo wa walioua wanafunzi Garissa nitacheka..can you justify innocence ya aliyechomwa hapo pichani?

As for matusi, I have heard all of those and many more...find something new may be utaniupset..as for now you are the one foaming at the mouth and here I am as calm as the Duke at a tea party!!!!
 
Huyu wa fb yupo dunia gani hajui yanayo jili duniani kwa Sasa Na hiyo picha siyo ngeni iko kwenye kurasa za Mbele vyombo vingi vya habari Duniani

thats a nice answer ingawa hukuiphrase as a gentleman..do you think you have seen and heared all I have seen and the vice-versa?..a link to the related news would have been welcome
 
a

and thats the problem..consider yourself inferior and you become inferior...Ireland ni weupe wanauana..the Ku Klux Clan waliwaua wazungu wenzao..and many more examples
 

Sasa kwa kuwa unajua usijifanye hujui. Madhara yake ndio hayo. Kumbe unajua hizo ni uniform za South? Si unajua pia nini kinaendelea huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…