Umeona nini kwenye hii picha?

Umeona nini kwenye hii picha?

See you on twitter...... hapo kwenye you unajifanya muhindi na kusema vvvvuu kisha hapo kwenye twitter unatamka twiiiii huku kama unasonga ugali kwa ulimi basi utaona nlichoona Kasie Mahaba. ...

Hiviiiiii kitumbua kwa kiingereza kinaitwaje?
Fritter

[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]   [emoji100][emoji124][emoji125][emoji125][emoji125]
 
View attachment 566973
Mimi nimeona rangi nzuri ya Total, hapa itakua sheli au wapi?
Fritter imejaa kweli[emoji116] [emoji116]
2a2dbde827ca28741722f159f4dcf495.jpg

[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]   [emoji100][emoji124][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Mimi nimeona pete ya ndoa kuashiria kuwa ni nke wa ntu!
 
See you on twitter...... hapo kwenye you unajifanya muhindi na kusema vvvvuu kisha hapo kwenye twitter unatamka twiiiii huku kama unasonga ugali kwa ulimi basi utaona nlichoona Kasie Mahaba. ...

Hiviiiiii kitumbua kwa kiingereza kinaitwaje?
Kitu ni thing, mbu ni mosquito, hiyo watatusaidia wajuvi zaidi. Hicho kudude kimeshanipotezea imakini.
 
Mbele kama katununi za Masoud ulivyonona
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom