Umeoa Msukuma?

Nilikuwa kishapu huko shinyanga mwishoni mwaka jana hizi characters hazi-exist kwa kila mtu inshort hawa wadada sio kivile eti wanaheshima hapana hawa wanataka mpaka uwajue ukae nao

Heshima yetu iko damuni
 
Alaa!, we vipi wewe? you think am kidding? am serious, mi sukuma original, both parents!, we unafikiri uko mwenyewe?

nsukuma original hasemi "mi sukuma original" na hasemi "wawezya"...labda wewe nsukuma wa kichina
 
Pia wanajua sana sana kupika nilikula ugali uliopikwa na msukuma kwa matembele na nyama ya ng'ombe (chukuchuku=haina nyanya wala vitunguu) yaani sikuwahi kula nyama tamu kama ile na matembele mazuri sana. Hawa wanawake pia wana adabu za hali ya juu.
 
Na uhakika hayo matembele na hiyo nyama vilipikwa kwa mafuta samli......
 
Hee, mnanikumbusha na Big gee za kisukuma (Michembe) Matoborwa du nayapenda sana hayo.
 
Na uhakika hayo matembele na hiyo nyama vilipikwa kwa mafuta samli......

Hapana Julius matembele yalikuwa na nyanya na vitunguu lakini nyama ilikuwa haina mafuta pia. Ilibidi niulize baada ya kumaliza kula kama mapishi ya nyama kama kila siku inayopikwa nyama ndivyo yalivyo nikaambiwa mapishi hayo ndiyo yanayopendwa.
Julius matembele na samli wapi na wapi πŸ™‚
 
Na uhakika hayo matembele na hiyo nyama vilipikwa kwa mafuta samli......

Heheeeee...Haya matembele si ndo yanaitwa Malando,nyama iliyopikwa kwa samli ni kiboko kaka,bila kuusahau ule mlenda uliowekwa karanga 'Nswalu',na ugali uliowekwa kwenye sinia kisha ukapaliwa(unafunikwa na sufuria kisha moto wawekwa juu ya sufuria unakuwa mgumu flani hivi)....Bila kuyasahau maziwa mgando yaliyochekechwa(kuondolewa samli)...Hivi vyote vyaliwa kwa pamojaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€..Yaani ni raha kweli
 
Kui Shostito....bebe nzogo kono twibelegeje

eh! translation please! hahahahahaha kumbe wa huko!? πŸ™‚ unajua kukaangiza nyama chukuchuku na matembele matamu kupita kiasi!?
 
Nkwingwa umenifanya nisikie njaa ya ghafla! Nakumbuka wakati ule naenda gudema/ gudima (kuchunga ng'ombe) halafu nikirudi ile jioni bibi tayari keshaniandalia menu yangu. I love being Nsukuma aisee....
 
Mimi pia,najivunia kuwa Msumkuma aisee
 
Mhhh! Unanikumbusha Tabora pale mtaa wa migazi....makulaji haya yalikuwa kwa sana tu na kule Igunga pia.
 
Cause, that's how it looks like most of the times....we never come to an aligned conclusion

ooh come on cuzzo (you're my cousin, remember?) we agree on working out and being in shape, don't we?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…