Umeoa Msukuma?

Hii itakuwa ni methali mpya kabisa.afu haiapply cku hizi. Hata kwenye bustani ya edeni hili uwa waridi-miiba halikuwepo.

hahahah..shemeji..ila lilikuwepo lipi? lile la kati alilochukua mwanamke, akampa Adam naye akala wakajikuta wapo uchi? LOL
 
kwa upande wa wadadaz wa kisukuma nimewasoma sasa twende upande wa pili kwa hawa kakaz wa kisukuma!nao je wamekaa vp?au ni vise vesa ya wadada?nijuzeni wajameni!
 
wekeni vielelezo vya picha zao japo mbili tatu kwa wale kama sie ambao hatuwajuwi nani wasukuma na nani wengineo, tutowe macho tongo na ikiwezekana tuanze kufunga safari za huko usukumani tusijetukageuka hadiuthi ya muazima jamvi .
 
Halafu utegeee huyu binti eti asiwe mwaminifu kwa mumewe?

Kwanza kakuzwa kwenye maadili ya hali ya juu. Kuchapa kazi mwenyewe unaona wazi kabisa ni mtoto wa kwazi haswaa. Sanasana akipata mume mnyanyasaji ndiyo inakuwa kilio na kusaga meno ila kataendelea kuwepo.

Julius, unakumbuka wimbo wa "yuyo yuyo wazwa mbili, sanga wakula...." teteteteeeee!!!!!!!

Kama Wamakonde na Wachaga, oeni dada zetu kwa kweli hamtajuta. Wapare siwataki sana maana Watatumia ukarimu wa dada zetu na kuwatesa kwa Upare wao (ubahili). Wagogo pia si sana maana watawalisha wa Mhumba (ugali wa pumba). Jamaa zangu Wahaya, no comment. Wafipa si sana maana tutaanza kuchuana nani mchawi zaidi na mtalishtukia limbwata (nsamba) la dada yetu. Watu wa pwani mtamuolea wake wengi wengi........
 
hahahah..shemeji..ila lilikuwepo lipi? lile la kati alilochukua mwanamke, akampa Adam naye akala wakajikuta wapo uchi? LOL
Nadhani maua rose,kitenge,ua jekundu na lilyflower ndio yalikuwepo.na lile tunda nahisi litakuwa ni ndizi( aka banan)
 
Usiwaponde Wapare maana nao dada zao ni wazuri sana!
 
ohh my God,so beautiful and natural.No wonder they are beautil in out.
 
Of course umenena dada wanaume wa kiafrica tunapenda wanawake wenye sifa hizi na kwa jinsi ulivyocomment wewe yaelekea ni wale wale wa kuleee BK ambao ukigusa mke umekwisha...

-wadada wa kisukuma,hawahitaji..majitu' mafukunyuzi'..!!!!...
-nini kwisha???mtatakomea kabisaa...kama mlivyokuja!!!...😑
 
PJ naona unafanya research kuna ndugu yako anatafuta mchumba??
 
PJ naona unafanya research kuna ndugu yako anatafuta mchumba??

Kiaina, kama nilivyosema, nataka wadogo zangu wapate wake wazuri, na pia wanaJF mabachela wa hapa ndani wapunguze threads za ..."NIMEIBIWA, .....NIMECHANGANYIKIWA ....etc!..mi huwa zinaninyima amani sana!
Nadhani tuko pamoja dada FL1
 
mmesaha kitu muhiiiimusana... wanapiga Jembe haoooooo, ka trekta.... akijifungua tu, baada ya mwezi, kichanga mgongoni... jembe linatifua vumbi..! wanafaa sa kwa KILIMO KWANZA!!πŸ˜€
 
Usukumani jamani raha asikwambie mtu hawa mabinti nawapenda sana ningekuwa nauwezo ninge........
 
JULIUS JULIUS JULIUS.... How many times did I call you? (ref to your picture) am sure you are tooo young to know the right woman to marry!!!
 
mmesaha kitu muhiiiimusana... wanapiga Jembe haoooooo, ka trekta.... akijifungua tu, baada ya mwezi, kichanga mgongoni... jembe linatifua vumbi..! wanafaa sa kwa KILIMO KWANZA!!πŸ˜€

heheeeee sure! kwa hilo sina upinzani, but qualities za kilimo kwanza na za mke ni tofauti, jamani uzuri wa mwanamke uko machoni pa anayemtazama!!!!!!
 
JULIUS JULIUS JULIUS.... How many times did I call you? (ref to your picture) am sure you are tooo young to know the right woman to marry!!!

shemeji yangu sio muoaji jameni.....we muache hivyo alivyo....
 
mmesaha kitu muhiiiimusana... wanapiga Jembe haoooooo, ka trekta.... akijifungua tu, baada ya mwezi, kichanga mgongoni... jembe linatifua vumbi..! wanafaa sa kwa KILIMO KWANZA!!πŸ˜€

mnh....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…