Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,242
ckufichi mdogo wangu, hawa kaka zangu hapana! yeye ataleta matumizi ndani lakini ucmwambie naomba unisidie kumnywesha katarina uji, hilo halipo kwake, kaweka miguu juu ana watch tv hawezi fanya hivyo, muulize chriss kama alishawahi hata kumbadili mtoto pampers.
heee.Bac hapa kazi ipo.Tutaamia huko huko usukumani mwenzangu.
hao mie nawaitaga funga kazi, mweh hapana!...bht,charity wanaumne wa kimachame ni wazuri mno pia, wanajua kupenda/wanapendeka,tabu kwa hao mtakaowaita wifi...uwiiii, labda umkute kazaliwa mwenyewe...lol
asa luv, kama ameleta matumizi ndani, kubadili pampers linabaki kwa mtu binafsi zaidi, kikubwa je wanaume wa kichagga ni wan aume suruali au la? I mean wanajua kuitafuta shilingi au sio
sasa wengine ndo ivo wao kama mchezo wetu wa kukimbiza sumni hawauwezi inabidi wacompansate kwa kujifanya ooh mara wanapika sijui nn,,
hivi ni kabila lipi lenye wanaume most successful in this country in all aspects?
umeanza......shemeji...kila waridi linakuwaga na miba yake! wataka waridi bila miiba!
ni kweli, ila nachelea kusema kwamba, najitahidi kufuatilia asili yangu na kujifunza kuongea lugha ya asili ya kwetu. Sitaki kubobea kwenye uzungu sana! Ndio maana hata kwenye bara la ulaya kila nchi inaongea lugha yake. Yale ni makabila. Kijerumani, kiingereza, kispaniola, kiitaliano na kadhalika. Hawafagilii lugha ya mtu mwingine kama sisi!
Tuzipende lugha zetu za asili jamani, ni mojawapo kati ya hazina kubwa sana tulizobakiza katika utamaduni wetu unaotutofautisha watanzania na mataifa mengine! I mean, our identity!
Leo nimeamka ki - mfia nchi zaidi! π
Jamani nilikuwa na Msukuma wangu faragha kidogo kumbe nae huwa anachungulia sana hapa lol kanipa zawadi ya ushindi
nsukuma original hasemi "mi sukuma original" na hasemi "wawezya"...labda wewe nsukuma wa kichina
Ni kweli, ila nachelea kusema kwamba, najitahidi kufuatilia asili yangu na kujifunza kuongea lugha ya asili ya kwetu. Sitaki kubobea kwenye uzungu sana! Ndio maana hata kwenye bara la Ulaya kila nchi inaongea lugha yake. Yale ni makabila. Kijerumani, Kiingereza, Kispaniola, Kiitaliano na kadhalika. Hawafagilii lugha ya mtu mwingine kama sisi!
Tuzipende lugha zetu za asili jamani, ni mojawapo kati ya hazina kubwa sana tulizobakiza katika utamaduni wetu unaotutofautisha Watanzania na mataifa mengine! I mean, our identity!
Leo nimeamka ki - mfia nchi zaidi! π
Ipi hiyo kakununulia kasimu cha tigo????
wanaume wa kimachame nawapa sana credit jamani wala sio siri
ila hao wapalestina hapo kwenye buluuu.....yeomiiiii!!!! mmmh hatari tupu!!!!
BTW mwenzenu huwa natatizwa sana na suala zima la mawifi......nimefikia point nahisi ntakuwa nawaogopa dada wa mume wangu.......(stori huwa zinanitisha)
cjasema hivyo luv, kaka zangu ni wachakarikaji sana tena sana nawa salute kwa hilo, kwani luv ukishaniletea matumizi ndani ndio mchezo umeishia hapo?btw cku hizi makabila mengi yanajitahidi sana kwenye uchakarikaji wa kutafuta sumni, kama kuna alielala acamshwe.....
Hilo la mawifi linahitaji thread inayojitegemea............!!!! π
yeye ataleta matumizi ndani lakini ucmwambie naomba unisidie kumnywesha katarina uji, hilo halipo kwake, kaweka miguu juu ana watch tv hawezi fanya hivyo, muulize chriss kama alishawahi hata kumbadili mtoto pampers.
wanaume wa kimachame nawapa sana credit jamani wala sio siri
ila hao wapalestina hapo kwenye buluuu.....yeomiiiii!!!! mmmh hatari tupu!!!!
BTW mwenzenu huwa natatizwa sana na suala zima la mawifi......nimefikia point nahisi ntakuwa nawaogopa dada wa mume wangu.......(stori huwa zinanitisha)
shem jamani,wariidi na miiba tena? litakuwa waridi la kichina hilo sio nachuroooo.shemeji...kila waridi linakuwaga na miba yake! wataka waridi bila miiba!
Kijana mfianchi unaweza kuwa na mawzo mazuri lakini nasikitika ushachelewa mno.Toka wale jamaa watutawale basi walishatuachia na desturi zao.Nina uhakika hata wewe jina lako la kwanza ni la kingreza.Kurudisha utamaduni wa zamani mie naona ni ndoto za alinacha kwa sasa.
Hii ilikuwepo kwenye mada ya jana nilikushtua weeeeeeee uje uwaambie wenzio ukauchubua, baeleze bana
hawatakiwi kuogopwa hao,unampa kitu blank, ni heshima ishike mkondo wake, ni mawifi wachache mno mno ni wema, ucmfanye shoga yako hata cku moja, cjui blah blah, ajue mpangilio wako wa maisha,uwe na distance nae, kikazi zaidi!