Umeoa Msukuma?

na utakuwemo
hahaaaaa utajibebaaaaaaaaaa!!!
wa ukweli mbona kule nimekwambi ninahamu na wewe ukanichunia??
hutaki eeeh!
!!!

B wa ukweli I have done the needful already! kaangalie kule nimekubonyezea kale kakitu! hahahahaha
 
binghwe lekagi mabhuchilhu ghete! bhanike bhasughuma bhelele ghete!


Tafsiri yake ndo nini Mkuu?

Au Msukuma yeyote tupe maana ya hii maneno, nadhani hatukanwi mtu hapa!

Tafsiri,

Nyie acheni chuki binafsi, wasichana wa kisukuma ni waelewa/watakatifu!! --- πŸ™‚ (Watanisahihisha kama nimekosea)
 
dah, B lakini mjadala huu wa makufuli si tuliufunga kama ule wa richimondi, au ndo haufi kama ulivo wa richimondi? LOL
πŸ˜€
kumbe ushajibu B!!!
 
Tafsiri,

Nyie acheni chuki binafsi, wasichana wa kisukuma ni waelewa/watakatifu!! --- πŸ™‚ (Watanisahihisha kama nimekosea)
heheeeeeeee
wasukuma wanawamba ngoma dah!!!!!!!!!!!!!!!
utakatifu umekujaje kwa hao dada zenu..............
 
Na mimi Nyamayao nikimbizie huko.Nitafutie wa huko usukumani. kwa mtaji huu hawa wachga naona kama watanilostisha.


ckufichi mdogo wangu, hawa kaka zangu hapana! yeye ataleta matumizi ndani lakini ucmwambie naomba unisidie kumnywesha katarina uji, hilo halipo kwake, kaweka miguu juu ana watch tv hawezi fanya hivyo, muulize chriss kama alishawahi hata kumbadili mtoto pampers.
 
heheeeeeeee
wasukuma wanawamba ngoma dah!!!!!!!!!!!!!!!
utakatifu umekujaje kwa hao dada zenu..............

Tafsiri yangu siyo rasmi sana maana nami Kisukuma nimejifunzia mjini kwenye shule kama nayotaka kuanzisha Charity....!!! πŸ™‚
 

huyo tena mangi meza bin mandara wala usiulize kitu hapo...............
 
Hasa wachaga wa Rombo, yaani nahisi wanaongoza kwa mfumo dume hapa duniani! Ila na Wakurya nao mmmmh!!

hao mie nawaitaga funga kazi, mweh hapana!...bht,charity wanaumne wa kimachame ni wazuri mno pia, wanajua kupenda/wanapendeka,tabu kwa hao mtakaowaita wifi...uwiiii, labda umkute kazaliwa mwenyewe...lol
 

asa luv, kama ameleta matumizi ndani, kubadili pampers linabaki kwa mtu binafsi zaidi, kikubwa je wanaume wa kichagga ni wan aume suruali au la? I mean wanajua kuitafuta shilingi au sio

sasa wengine ndo ivo wao kama mchezo wetu wa kukimbiza sumni hawauwezi inabidi wacompansate kwa kujifanya ooh mara wanapika sijui nn,,

hivi ni kabila lipi lenye wanaume most successful in this country in all aspects?
 
Tafsiri yangu siyo rasmi sana maana nami Kisukuma nimejifunzia mjini kwenye shule kama nayotaka kuanzisha Charity....!!! πŸ™‚
sukuma medium skuli, Charity is this true!!! mie ni mtrained UPE teacher, nikumbuke na unipe upendeleo
 
Tafsiri yangu siyo rasmi sana maana nami Kisukuma nimejifunzia mjini kwenye shule kama nayotaka kuanzisha Charity....!!! πŸ™‚


haaa kumbe nawe msukuma? sawa kabisa....
 
Just curious! wewe umeoa wapi? je unajuta kuoa kabila hilo? Hebu tueleze kwa faida ya wadogo zako na waoaji/waolewaji wengine.
Charity,

Mimi ni mtu wa Kusini mwa nchi, nimeoa hukohuko kusini, na tena nimeoa ndani ya kabila langu!

Sijutii hata kidogo hayo maamuzi yangu maana naona malengo yangu yaliyonifanya nioe yanatimia kila iitwayo siku! ..

Lakini pia, uzuri wa tabia wa wanawake wa kabila la Sukuma hakuwafanyi wa makabila mengine kuwa automatically wabaya wa tabia na sura!...ieleweke hivyo!

Lakini napenda nikwambie kwamba kitu kinachosemwa na wengi huwa labda kina chembe fulani za ukweli, ndo maana nikaona niiweke wazi hii mada ili nipate inputs za wengineo!..

nadhani wengi mno mmefaidika, na waoaji wa kesho wamejua cha kufanya!
 
hao mie nawaitaga funga kazi, mweh hapana!...bht,charity wanaumne wa kimachame ni wazuri mno pia, wanajua kupenda/wanapendeka,tabu kwa hao mtakaowaita wifi...uwiiii, labda umkute kazaliwa mwenyewe...lol
heee.Bac hapa kazi ipo.Tutaamia huko huko usukumani mwenzangu.
 
ahahhahahha.kama na wewe ndo wale wale tu.Kizazi cha dotcom

Ni kweli, ila nachelea kusema kwamba, najitahidi kufuatilia asili yangu na kujifunza kuongea lugha ya asili ya kwetu. Sitaki kubobea kwenye uzungu sana! Ndio maana hata kwenye bara la Ulaya kila nchi inaongea lugha yake. Yale ni makabila. Kijerumani, Kiingereza, Kispaniola, Kiitaliano na kadhalika. Hawafagilii lugha ya mtu mwingine kama sisi!

Tuzipende lugha zetu za asili jamani, ni mojawapo kati ya hazina kubwa sana tulizobakiza katika utamaduni wetu unaotutofautisha Watanzania na mataifa mengine! I mean, our identity!

Leo nimeamka ki - mfia nchi zaidi! πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…