Umenuna SUMU chenji ya nini?@kongosho

Umenuna SUMU chenji ya nini?@kongosho

Bora umetusahihishia namie ilinipa sintofahamu, then uki'make error kwenye heading kuirekebisha hua ni mziki , hata sijui kwa nini .
Mimi kuna siku nilikosea headin' kila nilivyokukuruka niirekebishe holaa! Ilinipregy!

acha tu braza...aibu tupu leo...nimepanda mnazi nikiwa na msuli...loh!
 
Nipo shem, na nimehisi utakuwa umenikosa ndio mana waona nimejipitisha ili moyo wako upate faraja...

kuna mtu kacheza na hisia zangu leo...sina hamu bana...all i want ni kulala tu...maharamia wengine bana!!...vip braza bado anafanya vema kwako sio?
 
kuna mtu kacheza na hisia zangu leo...sina hamu bana...all i want ni kulala tu...maharamia wengine bana!!...vip braza bado anafanya vema kwako sio?
Pole jamani!...nani huyo nikamfinye?....mpotezee tu vile wajua kuwa duniani kuna watu na viatu!...

kakako sina neno nae BAGAH manake anajitahidi kunifanya mwenye furaha wakati wote!
 
Last edited by a moderator:
unatoa mimba halafu unakumbatia toys
 
Pole jamani!...nani huyo nikamfinye?....mpotezee tu vile wajua kuwa duniani kuna watu na viatu!...

kakako sina neno nae BAGAH manake anajitahidi kunifanya mwenye furaha wakati wote!

huyu ni yeboyebo..hata hadhi ya kiatu hajafika...ila kachambia yale majani yanayowasha mbona...atakula jeuri yake...
 
Last edited by a moderator:
huyu ni yeboyebo..hata hadhi ya kiatu hajafika...ila kachambia yale majani yanayowasha mbona...atakula jeuri yake...
Hehehe!

Ndio mana najivunia kuwa na shemeji kama wewe BAGAH...akikushinda (ingawaje nna hakika hawezi) niite fasta!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom