Umenuna SUMU chenji ya nini?@kongosho

BAGAH

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
4,523
Reaction score
1,060
...Kakadada Kongosho nakuongezea vimisemo katika store yako...! pamoja sana!
 
Bagah huo msemo kakufundisha nani na una maana gani vile?
 
mkuu BAGAH, umehamia wapi siku hizi? sikuoni kabisa..... nakuona kwa mbaaaaaaaali
 
Last edited by a moderator:
Kwa uknunua sumu lazma ujiue? Je kama ndan kuna panya?
 
ivi kumbe nimeandika umenuna?...aisee...umenunua sumu bana...

Bora umetusahihishia namie ilinipa sintofahamu, then uki'make error kwenye heading kuirekebisha hua ni mziki , hata sijui kwa nini .
Mimi kuna siku nilikosea headin' kila nilivyokukuruka niirekebishe holaa! Ilinipregy!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…