Umenipendea nini?

please be my pipii!

aisee napendaga sana hio kauli!
 
Last edited by a moderator:
Me kuna moja aliniuliza ivyo day one nilipokutana nae. Nikamwambia sitaki maswali ya kise... Akaona eeeh! Safari hii kazi ipo. Nikajua hatorudi tena, lkn haikuwa ivyo. Kumbe wkt mwingine wanawake wanapenda mwanaume aswaa sio wale wanaoendekeza ujinga ujinga.
 
Kwanini unanipenda? Huyo uliyeachana nae ilikuwaje? Ni kweli unanipenda? Nini utanifanyia? Ni mambo gani unapenda nikufanyie! Sipendi na sipendi, nimekufuata nikubali jinsi nilivyo lasivyo Ladies mtagengedwa mpaka kucheeeeeeeeeee
 
au ...""baby sijaziona siku zangu!!!""
 
Toka umeanza kufanya mapenzi mimi ni mwanamke wako wa ngapi!
 
Bby mbona uko bizy? bby mbona haujibu sms zangu? bby mbona haupokei simu, uko na nan?
hapa huwa nachukia sana.......afu unakuta missed call 78, sms 10......dah. Najiuliza nimekosea kutokujua medical history yake kwanza.
 
u have made my morning ahhahahahaaha
 
eti "baby umeridhika?"
hilo ni swali kwa mwanaume asiyejiamini, alieridhika unamuona tu sio lazma umuulize
 
Bby mbona uko bizy? bby mbona haujibu sms zangu? bby mbona haupokei simu, uko na nan?
hapa huwa nachukia sana.......afu unakuta missed call 78, sms 10......dah. Najiuliza nimekosea kutokujua medical history yake kwanza.

hiyo ni sign ya insecurity..and maybe she is still a litle gal....hahahahhaa
 
Mmmmmmmhhhhh! Wanazitegesha Mimba kwa sana tu,kisha atajileta ugonge hata kama hutaki! Hapo anakuona ganda la ndiziiiiiii na kwako beki hazikabiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…