Al-shabaab
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,791
- 620
Najua mu wazima,
Umenipendea nini?
Ni moja ya maswali ambayo sipendi kuulizwa na mpenzi wangu,
Je wewe hupendi swali lipi na unapenda lipi?