Umenionea Kiatu Changu?

nakisaka tangu jana, nilianguka hapa, kama kuna mtu anaishi karibu na bwawa huenda kimeshafika kwake
 
hilo ni bwawa au mtaro?, hata hivyo atakuwa ameangusha simu kiatu asingesumbuka hivyo
 
jamani nimesema katu, mbona mwantia maneno?
 
KIKITOKA KIMEHARIBIKA UNAKARIBISHWA HAPA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…