Mama, mama, nimeshakuoa, wacha mumeo nikatafute pesa...Kama unaenjoy sana company za marafiki mpaka saa nane usiku basi hukuwa tayari kuoa.
Mpe mpe vidonge vyake mpeeee akimeza akitema shauri yake ila akiendelea na tabia yake nipm nikuchukue uwe wangu....mfyuuuuuuuuuuuuu zake anayekuacha aloneHivi nyinyi makaka ambao weekend mnafikiria kufanya shopping kukata frifge na kuweka luku nyumbani baada ya hapo mnapotea kurudi saa name usiku. Hivi unafikiri kwetu sikuwa ninakula au MziziMkavu and wangu alishindwa kununua luku?
Weekend ndiyo muda wa kuongea na wewe. Monday to Friday unawahi kazini acha J'mosi nikupikie breakfast tuongee, ikiwezekana basi kufanya shopping wakati ninasafisha nyumba rule pamoja then unaweza kuwa na masaa mawili matatu na marafiki zako lakini unawahi kurudi nyumbani.
Kama unaenjoy sana company za marafiki mpaka saa nane usiku basi hukuwa tayari kuoa.
Hahaha! Hawana jema hawa.......huu nao ni ujinga mwingine wa wanawake-mimi na umri wangu unataka niwahi kurudi kufanya nini..?
......ukianza kushinda nyumbani hamkawii kusema mwanaume gani hata hau-socialise na wenzako
Haya ndio matatizo ya mke house wife, mume dalali wa magari, kila saa inabidi awe baa na washkaji kupata deals, alafu mke huku nyumbani keshakaa siku nzima peke yake mpaka ameboreka...Pole mdada, mambo mengine yanakera sana.
Ongea nae
Haaaaaaaawe! Hamkawii kwenda kujitapa kwa mashoga zako kama " unaona nimeshika huyu na haondoki nyumbani bila ruhusa yangu"
Unashangaa unadhalilika hivi hivi
umemaliza kabisa....kwanza mkishinda home siku nzima pamoja lazima mzinguane..... unapewa kamuda kafupi tuu over the weekend.......nani kamuoa mwenzake...........huu nao ni ujinga mwingine wa wanawake-mimi na umri wangu unataka niwahi kurudi kufanya nini..?
......ukianza kushinda nyumbani hamkawii kusema mwanaume gani hata hau-socialise na wenzako