Umenikumbusha machungu

Mungu ayafute machozi yako dada
 
Duh hapa kusamehe na kusahau yahusika.
 
jaman polee...alikukosea nin..or chanzo cha tatizo nin..ili tuweze kukushaur vizuri.
 
Ukiamua kusonga mbele unaweza, ila hapo hujaamua
 
BAK nauomba huu wimbo tafadhali!
 
Last edited by a moderator:
Wazima???
Sina mda mrefu tangu nimetendwa!! Nilianza kusahau sasa nimekaa zangu nikasikia wimbo wa christian bella akiwa na maraika band NAKUITAJI dah!! Umenikumbusha machungu jamani mapenzi yanauma asikwambie mtu hasa ukitendwa na mtu usiemtarajia
pole sana... wanaume ni watendaji wazuri sana aisee!
 
#Lady in action! Take action. Zima huo wimbo! Sikiliza wimbo wa kuachwa kuachwaaaa......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…