MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,588
Mbu unantaka mimi lakini we mwanaume!!...ha ha ha, Maty you are on fire leo e mama weeee!? nani huyo tena kakununia baada ya application na CV yake kukataliwa?
haya basi msitiri,....Very nice of you,...maana umegusia miongoni mwa points zangu za awali kabisa kwenye uanzilishi wa hii topik;
...ila wapo pia kina dada ambao nao huchukia kweli kweli iwapo mwanaume ataanzisha mahusiano na shoga yake (badala yake,) matokeo yake hata urafiki wao utalega lega au kufa iwapo mrembo nae atakuwa na msimamo thabiti kutetea mapenzi yake kwa mwanaume.
Mkuu ODM hivi maisha yanaharibika vp?Unataka kumharibia maisha?
Turudi kwenye mada:
Hii umeniharibia maisha: Inahusu jinsia zote mbili?........Bora mwanamke anaweza kulalama ameharibiwa maisha na lijanaume lililomchezea akawa na matumaini yang'arayo katika maisha...halafu ghafla bin vuu, nyota inafifia...... umri ushaenda.... cha kufanya tena hamna
Ila dume likimlalamikia mwanamke amemharibia maisha...........hebu mlilete huku nilibwenge makwenzi!
Unataka kumharibia maisha?
Turudi kwenye mada:
Hii umeniharibia maisha: Inahusu jinsia zote mbili?........Bora mwanamke anaweza kulalama ameharibiwa maisha na lijanaume lililomchezea akawa na matumaini yang'arayo katika maisha...halafu ghafla bin vuu, nyota inafifia...... umri ushaenda.... cha kufanya tena hamna
Ila dume likimlalamikia mwanamke amemharibia maisha...........hebu mlilete huku nilibwenge makwenzi!
Hahhahah Bab...................oh samahani Asprin mie ctaki kucheka bana..eti ulibwenge makwenzi!! wapo mbona??Bado hamjaanza maofu topiki?
Ngoja nisepe tena....ila mkiwaona Mbu, MTM na Klorokwini waambieni vita yetu bado haijaisha....
Wameniharibia maisha!
Ndo maaana mi bado komfusdi hapa? hivi kuharibiwa maisha ni kuto kuolewa au kuoa?Nyie watu hapo juu:
Hakuna mtu anayeharibiwa maisha na mtyu mwingine.
Mtu hujiharibia maisha mwenyewe bana!
Mkuu Mbu,
kwa mtizamo wangu mtu yeyote anayesema hivyo anakuwa amekata tamaa ya maisha na kukata tamaa ya maisha haikubaliki hata kwenye vitabu vya Dini
Mara nyingi msichana akipata ujauzito, tuseme kabla ya kuoana, inakuwa 'umeniharibia maisha' na hili linapelekea wengi kuzichoropoa thereby aggravating the problem
Au mwanaume mzima, mwanamke anakuwambia kwamba its over then unatafuta sumu unabugia....sioni sababu hata kidogo,
Kiafya ya akili, kutegemeana na exposure ya mtu, watu wanatofautiana na jinsi ya kuhandle hizi situations...lakini tuelewe kuwa there is nothing worth taking your life or some one else's life kisa eti mapenzi....haikubaliki
dah hapa funda moja tu la ziada, nitaumbuka....
Mkuu kilichopo saa hizi ni kwamba, sijamtafuta kwa mawasiliano na wala yeye hajanitafuta. Miezi mi5 sasa.
Sasa sijui ndo tumeachana, au nimemuacha au yeye ndo kaniacha?
Hata sielewi elewi.
Nahisi kama akikubali kubadilika naweza kurudiana nae . . . lolz
lol, maisha haya, kwani kuna wa kuwapeleka skul kwenye hiyo familia au ni watu wazima wanahitaji msaada wako kwa namna moja au nyingine? sema mdada nae alilielezea vibaya.
Ndo maaana mi bado komfusdi hapa? hivi kuharibiwa maisha ni kuto kuolewa au kuoa?
teh teh teh kwa kweli maana kama sijatolewa roho basi maisha lazima yasonge!!Labda kutolewa roho . . . .
mie nilikuwa nahic ctaweza kuishi bila yeye, niliona maisha yangu bila yeye sio maisha, au hapa inategemea na c2ation yenyewe eg labda tungekuwa na maugomvi/tunakorofishana kwa muda mrefu bila suluhu labda ningeona sawa tu, lakini ile kuachwa kama jamaa alivyoniacha kweli aliniharibia maisha...hahahaha, brain yangu ilipoteza kumbukumbu kabisa, cjui ilikuwagaje aisee.
...dah, hapo kwenye Abortion, imagine inakataa halafu kizazi nacho kinaharibika!
kila mkitu kinafall pale pale kwenye utambuzi, uchaguzi na maamuzi.
Akikubalii >> sex >> mimba >> abortion >> kukosa yote!
in reverse order;
kukosa yote >> abortion>> mimba >> sex >> asipokubali hapotezi lolote!
CPU ha ha ha!,
....pole sana bana. Unahitajika kurudia kusoma tena michango humu tangia mwanzo.
Kumbe bado una matumaini nae? Hongera sana bana, ...ila nadhani unapenda mpaka chongo unaita kengeza.
Hapo ulipo ume "pause" maisha yako ukiombea maajabu binti awasiliane nawe muanze upya!
Well, sitaingilia sana, "kitanda usichokilalia!...." ila kwa tahadhari tu nakukumbushia maamuzi yako yatokane na
utambuzi wa "Warning & Alarm bells" zote unazozisikia tangu mwanzoni mwa mahusiano yenu....kisha uchambue na kuchagua >>>uamuzi<<< ulio sahihi kwa maisha yako.
Kinyume na hapo utajiharibia maisha yako.
Mtihani huo! Mambo ya Extended families!
okay pole sana Nyamayao my dear...sasa walau UMEJUA kwamba ungekuwa umefanya jambo la kipumbavu sana aisee...
mie nilikuwa nahic ctaweza kuishi bila yeye, niliona maisha yangu bila yeye sio maisha, au hapa inategemea na c2ation yenyewe eg labda tungekuwa na maugomvi/tunakorofishana kwa muda mrefu bila suluhu labda ningeona sawa tu, lakini ile kuachwa kama jamaa alivyoniacha kweli aliniharibia maisha...hahahaha, brain yangu ilipoteza kumbukumbu kabisa, cjui ilikuwagaje aisee.
Mbu unantaka mimi lakini we mwanaume!!
lol yaani hiyo ya mwisho hapo inahuu kabisa. Duh umenikumbusha mbali sana enzi hizoooo nlishanuniwa na shoga yangu mie, yaani alikuwa kila tukimwalika tutoke naye nakwambia anakubali kalini mkifika tu anaanza nuino hilooo ukimwulza mara oh kichwa chauma, mara ah sijisikii vema almradi visa.......ila toka kidogo tu wende maliwato ukirudi unamkuta anajichekesha .........ah dada yule sitomsahau kwa vituko!! mwee............ I hope shes happy huko aliko!!
ila nafikir ni ile hali ya kuwa anampenda yeye lakini kwa vile anashindwa ku'mwambia' basi analiachia gurudumu likenda kwa mwingine ndo urafiki unakufa!
Babu
M ndo nilikuwa nataka kumjengea maisha mjukuu wako, lakin yeye naona anataka kuniharibia
Ila hii mada ya Mhe. Mbu Maralia-less. Mbunge wa MMU Magharibi na M/Kiti wa Bunge wa Kamati ya Mahusiano imenifanya nigundue kwamba hakuna kitu kinachoitwa UMENIHARIBIA MAISHA kwa mahusiano tu (kabla ya ndoa) bali kuna KUJIHARIBIA MAISHA.
Ni kweli akifanya hivyo utakuwa umempa mwanya.., lakini in real life Marriage ni Kama Jahazi ambalo linataka watu wawili kusaidiana ili kuendesha maisha..., now kwenye marriage kuna responsibilities ambazo we all know kwamba mama huwa mara nyingi anaachiwa responsibilities za watoto kutokana na uchungu na upendo wa mama..., (its all good and most women enjoy that...) lakini maybe kama mwanaume angesaidia she could have juggled all the balls...,kwangu huyo hana mapenzi na kama nitamruhusu kufanya hivyo kwa kivuli cha love basi hata akijanitema baada ya mimi kupoteza uelekeo wa maisha sitamlaumu kuwa kaniharibia maisha....I let him do that, I allow him, I gave him that authority...its all my fault.
teh teh teh kwa kweli maana kama sijatolewa roho basi maisha lazima yasonge!!
ha ha ha, Mwj1 nimekugusa ndipo eeh? ha ha ha!
♫ na bado, na bado, sijafika mwisho! ♫
Nalia kwa furaha - Bushoke ft Klynn
Na yule aliyeletewa magonjwa kwenye ndoa (mfano ukimwi)...,???Mtu kajikwamisha mwenyewe halafu anadai Mbu ndo kasababisha nipate Maralia, akiambiwa atumie chandarua chenye dawa hataki
HommieNdo maaana mi bado komfusdi hapa? hivi kuharibiwa maisha ni kuto kuolewa au kuoa?