Swahiba... kwenye tima na maendeleo ya jamiii wanasema the first step towarsd healing is accepting that you have problems, and in this case ni kwamba you are part of the problem
sasa unapoona mtu anahamisha shida au lawama zote kwa one party ujue kabisa huyo mtu hana dalili ya kuerevuka au kuelewa nini maana ya mapenzi.... it takes two to tangle and at any particular time, wote wanakua part ya furaha na wanakua part ya huzuni
to me mtu akiniambia nimemaribia maisha napata mawazo haya;
yeye si mtu bali ni kitu and i was using it
yeye hana utut wala utashi wa kung'amua chochote, i am the driver, screw drive and a screwer
yeye hajui kwanini alikua na mimi... irresponsible etc
the only place where this statement is valid ni kama ntakua nimemvictimize kazini, kumbaka, kumuibia, kumtapeli etc
otherwise the sentence is a blanket to cover up for ones ignorance
bro, some of the best approaches in healing couples challenges is role switching, couples retreat (karibu tunaandaa moja in august), and open talks where we agree on everyones roles in a problemMTM Spot on track bro!
maisha ni "kitendawili, kitegue....!"
,...pamoja na kuwalaumu kwetu hawa wanaotwambia tumewaharibia maisha?
hao ni wenzetu, wake zetu, ndugu zetu, wafanyakazi wenzetu etc....je, tuwasaidiaje?
nadhani kuwatenga kutawafanya wafiche makucha yao kwa muda...
...tayari wana disability ya kujiona wao wanakuwa victimized bila ku own their faults kwenye relationship.
Hudhani kwamba ku boost ego, pride na self esteem zao ni njia mojawapo ya kuwasaidia? hebu tupe darasa
la mental heath sasa.... kama jamii, tunakosea wapi kwenye malezi?
iwapo mke (mama) ndiye mklezi wa taifa la kesho, huoni kwamba tukiendekeza 'ulemavu' huu tunazidi kuzalisha
whingers, whinpers and moaners nchini? mfano; cheki thread za kumlaumu Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, LOL...
hawaishii hapo,....mpaka majumbani wao ni kulalamika tu!
Where do we draw the line and take up the responsibilities za maisha/mapenzi?
Mkuu..mimi nadhani vitu vyote vinatokana na Journey of love.. unajua wakati mapenzi yanaanza yanakuwa kama asali..yaani watu wanachanganyikiwa na wengine wanakosa hata uwezo wa kufikiria mazuri na mabaya..yaani hasa kina dada wanashindwa kujua kama porojo za wanaume ni zina ukweli au vipi..as a human instinct ..wanaume wamejaliwa uwezo wa kucheza na akili za kina dada hivyo ni sehemu ndogo ya kina dada wanakuwa ngangari na mtego huu.. Sasa, ukiangalia vizuri suala la kuharibiana maisha lipo sana toka kwa kinadada ..kuwaambia kinakaka..kwani kinadada wanapenda kiukweli wakati asilimia kubwa ya wanaume wana .. artificial feelings ambazo zinasukumwa sana na tamaa za mwili.
Mimi nafikiri..Katika kipindi hiki ambacho mapenzi ni asali hapo ndipo porojo za wanaume zinapom-maliza mwanamke..wakati mwanamme anatunga porojo ili alidhishe tamaa yake ..masikini mdada anapenda kwa ukweli ..na zile sense za kuhisi hatari zinakuwa zimezima..Sasa mwanaume akishashiba ..ile graph ya mapenzi inashuka ghafla..na mwanamke anazinduka toka katika usingizi..huu ni wakati wa panic anaweza fanya lolote..lakini kama akitulia ile panic itaisha.. kwa upande wa mwanaume kwa sababu alikuwa na artificial life hatotilia maanani..hivyo basi hata rafiki ya kike akimwambia amemuharibia maisha haitoingia kichwani kwani yeye alikuwa anataka kitu fulani tena kwa muda fulani..yaani hata msichana kama hatajiua hii haitaingia akilini kwa mwanume ..yaani hata msichana hakikuambia maisha yake hayana thamani yaani ni kumpigia mbuzi gitaa ..kwani ni kweli maisha ya msichana yalikuwa hayana thamani toka mwanzo..kilichokuwa na thamani ni mwili..
Lakini, in contrast..kama wote wawili..mlipendana kiukweli..na mkapanga mambo mengi kwa ajili ya baadaye..halafu ikatokea kitu nje ya uwezo wenu kutofanikisha malengo yenu..Kama dini..wazazi..n.k..Hapo wote wawili mtayumba kisaikolojia..na hata kama mtapata wapenzi wapya hapo baadaye..lile jeraha halitofutika kamwe..
Mkuu watu hatuishi kwenye (Vacuum) tunategemeana ili kuweza kuendesha maisha ya kila siku. Sasa iwapo mtu alikuwa kwenye straight line kabla ya kukutana na wewe na for your influence unamsababisha kwenda astray.., then ni kweli umemwaribia maisha..., mfano mzuri ni kwa wale wanaowapa wenzao mimba na kuwatelekeza.., au kuwa-abuse emotional na kuwafanya wawe tofauti na mwanzo..,
Mkiwa wawili inabidi kutegemeana sasa badala ya kumyanyua mwenzako akianguka wewe unamsukuma then utakuwa responsible for his/her failures..., mfano mzuri ni Whitney na Bobby; lazima tutapoint a finger kwa Bobby Brown kumfanya Whitney aanze kubwia unga cause kabla hawajakutana Whitney hakuwa hivyo..., au wale wanaowapa karaha wenzao na kuwasababisha waanze ulevi..
Yes ni kweli Binadamu wote tunao uwezo wa ku-influence maisha ya watu tunaowazunguka na action zetu za bila busara zinaweza kupelekea kuharibu maisha ya wenzetu
Mkuu watu hatuishi kwenye (Vacuum) tunategemeana ili kuweza kuendesha maisha ya kila siku. Sasa iwapo mtu alikuwa kwenye straight line kabla ya kukutana na wewe na for your influence unamsababisha kwenda astray.., then ni kweli umemwaribia maisha..., mfano mzuri ni kwa wale wanaowapa wenzao mimba na kuwatelekeza.., au kuwa-abuse emotional na kuwafanya wawe tofauti na mwanzo..,
Mkiwa wawili inabidi kutegemeana sasa badala ya kumyanyua mwenzako akianguka wewe unamsukuma then utakuwa responsible for his/her failures..., mfano mzuri ni Whitney na Bobby; lazima tutapoint a finger kwa Bobby Brown kumfanya Whitney aanze kubwia unga cause kabla hawajakutana Whitney hakuwa hivyo..., au wale wanaowapa karaha wenzao na kuwasababisha waanze ulevi..
Yes ni kweli Binadamu wote tunao uwezo wa ku-influence maisha ya watu tunaowazunguka na action zetu za bila busara zinaweza kupelekea kuharibu maisha ya wenzetu
Mbu topic nzuri sana, huwa nafikiria niwe nawasiliana na wewe kwa ushauri maana unajua sana ku-analyse haya mambo!
Naamini yote niliyopitia ni changamoto za mapenzi...nimejifunza pia kubeba lawama zangu pia kujipa moyo kuwa sikuzaliwa na huyo mtu nimekutana nae tu katika safari hii ya maisha hivyo lolote linaweza kutokea..
Watu wengi huhisi kuharibiwa maisha kama walipotezewa muda na wapenzi wao tena makusudi bila kujali hisia wala upendo juu yao...mara nyingi wanagutukia too late kuwa walipotezewa muda!!
vice.. i may agree with you ila nina wasiwasi kwamba mfano wa mimba siyo wenyewe... kumbuka hukumbaka, na mwanamke anajua cycle ya mayai yake
ungejua maana ya kumuendeleza mwanamke ni kuendeleza jamii, ungekubaliana na mimi kwamba mwanamke ndiyo anayerun maisha yetu; to me mimba, mtu kubadilika na kuwa malaya, mlevi au mimba ni vitu ambavyo subconsicously anakua anaona yanayotokea na kupiga moyo konde
BTW, nikimpa mimba mwanamke bila kupanga, si kwamba nimemharibia maisha, bali tumeharibiana maisha kwani kuna majukumu ya kulea yanaongezeka na kwa sisi tuliooa ni kwamba tunaongeza challenge ya pili nyumbani ya kuleta mwana wa nje (si mwanaharamu)
we have to balance the cards to be fair, as long as hakubakwa au kulazimishwa, basi anashare 50% of responsibilities... and that is also a way of empowering women
ha ha haaahhaa!....mbona unakatisha uhondo? mwenzako nilikuwa nishavuta kiti hapa,
hebu endelea yaliyokusibu!, enhe!...
mmnnhhh,
Kamanda MTM, nadhani kina dada wengi hata wa humu JF watakuja wakali hapo kwenye wadada wanajua cycle ya mayai yao. Ni mara ngapi ushasikia tarehe zimebadilika? Nadhani kwenye suala la mwanamke kupata mimba nasi wanaume tunapaswa tuchukue jukumu la lawama. Nawasifu sana wale kina dada ambao at all cost kuepusha hili watalazimisha matumizi Condom.
Mwanaume, iwe ni boyfriend au mume nadhani nasi tunapaswa kujifunza menstruation circle za wenzetu, ...nasi tukajua zipi ni Ovulation days, zipi ni danger days na zipi ni safe days...kumwachia mama/au "mchuchu" jukumu hilo ni sawasawa na kuchezea shilingi chooni. Je, akikutega...?
Suala la mtoto through unplanned pregnancy inaniwia ngumu na uchungu kuita hiyo ni "kumharibia mtu maisha."
Am always anti Abortion. Nipo makini sana linapokuja suala la kufanya mapenzi bila kinga. Inapotokea mwenzangu amepata ujauzito, nauchukulia ujauzito huo +vely, ...ni blessing ya mapenzi yetu. It happenned to me, na nilimu- encourage partner wangu azae, na hivi leo na mtoto mkubwa ninayejivunia.
Unless kuna mtu atakuja na definition nzuri, i.e mwenyewe alijipangia nini mpaka unplanned occurance ndio iwe sababu ya kumlaumu mwingine amemharibia maisha! Kabla ya hapo, ajiulize wakati wa kufanya uchaguzi wa maamuzi yake, alifikiria faida na hasara ya tendo lake, au aliingia kichwa kichwa tu?
Kwanza akaanza na uchokozi eti " Siku hizi hunipendi, niliwahi kukupigia simu nikasikia sauti ya mwanamke anapokea . . . . "
Nikamwambia hakuna kitu kama hicho, Na anajua wazi simu yangu hata niwe na Maza hawezi kuipokea, sembuse mwanamke mwingine.
Then akaanza: "CPU unanipenda kweli? Nyie wanaume mnataka kutuchezea tu basi, lengo lenu ni kupata kidude tu, then uniweke mimba ukimbie"
Nikacheka kwanza, then nikamjibu: "Naomba utafute siku nije kwenu nijitambulishe, na baada ya hapo ntakuleta kwetu"
Akafikiri mzaha, nikakomaa nae kwamba akishamaliza mitihani yake na kufunga chuo, nataka mguu wake mguu wangu moja kwa moja mpaka kwao.
Alivyoona nimekuwa serious, akaanzisha ligi nyingine: "Unajua CPU mi nasoma saa hizi, hata kama ingekuwa ndo wewe mdogo wako anasoma then amlete mwanaume kujitambulisha, si ataonekana hataki shule??? Basi subili nimalize kwanza"
Nikamwambia sawa, ila asilalamike kwamba sina future nae tena.
Then akaja na kisingizio cha mwisho ambacho ndo kilinimaliza. Unajua alisemaje??!!
"CPU unajua sisi kwetu ni masikini sana, ndugu zangu wengi hawana kazi, kwahiyo kama unataka kunioa itabidi ukubali KUGHARAMIA NDUGU ZANGU WOTE"!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nilimuuliza maswali yasiyokuwa na idadi kutokana na hii hoja yake lakin akaishia kusema tu, "Kama utakubali kugharamia tu, vinginevyo itakuwa ngumu" Basi nikamwambia ruksa kumtafuta masikini mwenzake au tajiri atakae kubali kugharamia ndugu zake.
Then rudi kwenye hoja ya Tulizo uoanishe na haya maelezo yangu.
MTM na Mbu..., ninakubaliana na nyie 100% kwamba ni vizuri badala ya kupoint fingers tuwe tunajiangalia wenyewe..,
llakini point yangu ni kwamba "Behind every successful man there is a woman and vice versa is true..., ni kwamba in order to reach our potential lazima tupate support ya mtu and there is nothing better kama support ya mtu mnayeshare emotions.., ni kwamba huyu ni kama umempa your heart and he/she can make you or destroy you...., mfano mwingine Lauryn Hill (since ameolewa na yule bwana) she stopped pursuing her music career and the man has turned her into a house wife although she was a career woman... (ingawa angeweza kumsupport na angeweza kufanya vyote)
Ingawa kuharibu maisha its too bigger a word.., lakini am sure most of us kama tukiwapa support wenzetu kwa mambo wanayoweza kufanya effect yake inaweza ikawa better.., mfano wa mimba kama mtu atakubali kuwa mtoto ni wake na ku-offer support then its okay lakini pale anapomkataa mwanamke na kusema mtoto sio wake hapa atakuwa amempa mwanamke mzigo...
Endelea bwana CPU umekatisha uhondoMi nawaonelea huruma sana wadada kwa hii kadhia . . . sijui inachangiwa na KUPENDA MTU ASIYEMPENDA??!!!
Ila kwa asilimia fulani naona matatizo huanzia kwa binti mwenyewe.
Kikawaida sisi wanaume hatuna mapenzi ya PAPO KWA PAPO, huwa tunaanza kutamani kwanza.
Achilia mbali hao nilioelezea awali kwamba walitaka kujiua kwa ajiri yangu (hawa sikuwahi kushiriki nao mapenzi), kuna binti mmoja nilieanza nae uhusiano tangu 2007. Alikuwa 18yrs mwaka huo na kusema kweli mwanzoni nilianza kwa kumtamani tu, sikufikiria future yoyote na yeye.
Na mi nilikuwa mwanaume wake wa kwanza kushiriki nae mapenzi.
But as times goes, taratibu nikaanza kuvutiwa nae, ukarimu wake, upole wake, uelewa wake, kujishusha kwake (hata kama mimi nina makosa yeye hujishusha always) na hatimaye mapenzi ya dhati aliyonayo kwangu.
Kuna wakati tunapanga tukutane, lakin ghafla inafika siku yenyewe mama ake anaumwa, anahitaji mtu wa kumpikia, basi akiniambia nakuwa mbishi kuelewa, naanza kumshutumu kwamba hanipendi, kapata mtu mwingine. Basi binti wa watu anajitolea, ananibembeleza naelewa hatimaye namuelewa.
Kuanzia hapa nikajiapiza "Huyu ndie waifu mwenyewe" lakin sikuwahi kumwambia.
Nikaanza kumsikiliza kila anachoniambia, akiishiwa na pesa ya matumizi namtumia kwa bank (M-pesa bado kuanzishwa wakati huo)
Then nikaanza kumtumia kwa M-pesa kuanzia 50,000/=, 100,000/= n.k.
Niliji-commit kwake moja kwa moja tangu wakati huo.
Then Mwaka huu mwanzoni mambo yakabadilika . . . .