Umenifanya nirudi JF mapema!

Na mie nimekaribia kupotea sitaki mtu yeyote aniuliziee sijui nimepotelea wapiiiii
 
karibu sana....
jamvini tuu wazima

keti tukupe yaliyojiri na megine ujionee kwa macho...
 
welcome back SnowBall...

kweli JF ni mtakuja, bora umejirudia kuliko kufa na tai shingoni.

Missing u brodaa!
 
Last edited by a moderator:
Najua hujijui kama huwa unanikosha..
Najua pia hujui kama umebarikiwa moyo wa upendo...
Sijui ni Mimi tu au na wengine wanakuona ivo?..naomba nikukute ukingalipo..
anyway umenifanya nirudi JF mapema maana nakukosa..
Am back again where I belong to..

Welcome back!! hata mie nimerudi leo kumbe weye umerudi jana ila mie si wa kukaa sana nahisi ntakuwepo kwa siku mbili tatu hivi...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…