Umemwona bi kidude??

Guinness World Book of records, Bi KIDUDE the oldest singer in the universe.
Naomba tulipigie kura hili jambo.
 
Mmmh umri wenyewe wa kikisia sasa hivi utampigia kura na kitu hakina uhakika?
 
anajifanya amezidi miaka mia ati....bibi huyu pasua kicha ajabu...kwa wale walioangalia bibi poa wale wa clous tv wanajua kuwa ameshakuwa na akili ya kitoto sasaivi,uzee noma.
 
Hizi picha za mwaka gani ? Maana sasa hivi afya yake ni mgogoro, hawezi fanya manjo njo kama hayo !!!
 
namkubali huyu bibi, mashallah kiuno chake wallah!
 
nimemwona mkuu ila hizo nguo alizovaa zimeniudhi sana hata kura yangu hawezi kupata
 
Nlisha soma thread moja hspa inayosema kuwa kesha chemka zake, sijui ilikosewa?
 
mi niliikuta hyo habar fb kama siku tatu hivi zilizopita.....nadhani ulikuwa uzushi
Nlisha soma thread moja hspa inayosema kuwa kesha chemka zake, sijui ilikosewa?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…