Umemuona wakala?

Umemuona wakala?

Mi kuna sehemu nmeona kumeandika eti tunatoa huduma za mpesa kwa mitandao yote..!!
 
Nimepita kuangalia mambo yako! Wakutoe tu hiyo roho

Hahahaaaa Ntuzu afadhali umepita huku kurefresh mind kidogo Kule intelligence ni pasua mpaka huwa nahisi server za JF zinaoverheat
 
Last edited by a moderator:
Huyu wakala anajua kushika hata hyo simu?

Huyu wakala anapenda sana vifaranga na hizi 1411505013786.jpg
 
Back
Top Bottom