Umemuelewa vipi January Makamba?

Kufeli kwa Jiwe hakuhusiani na siasa,ila kashindwa kuleta UMOJA,kuinspire watu wachakarike,Kurahisisha njia za uchumi,Kuwa motivate wafanyakazi,na kuwa fariji wahanga mbali mbali.

Ukifeli hayo mambo hapo juu lazima ufeli SIASA.

You are the great thinker [emoji106]
 

Msalimie mwanaharakati mwenzako Musiba[emoji41]
 
Mtajikanyaga..mtaongea..mtajikuna..ila magu ndio mwenye nchi..polisi,jeshi na kila vurugu inansujudia yeye..yaani baada ya Mungu nchini anayefuata ni Magu..hata Tundulissu anajua..chochote akiamua kinafanyika..kwa hiyo amewaachia watu waongee na kumchora watakavyo kulinda demokrasia..
 

nita muelewa january 2019.kwa sasa sijamuelewa
 

Kwa niaba yao nakupa Asante sana kwa matusi hayo.
 
Wapenzi wa membe tukutane rock city mol, ninyi team jiwe bakini hapo hapo makaburini
Kwa habari za ndani tulizo nazo Benadi atakuwa kampeni meneja wa mnene 2020
Kwa kweli hawa watu hawavurugiki kirahisi. Na mimi nampendekezea apige pesa itakayotolewa Chipuku breweriers
 
Kufeli kwa Jiwe hakuhusiani na siasa,ila kashindwa kuleta UMOJA,kuinspire watu wachakarike,Kurahisisha njia za uchumi,Kuwa motivate wafanyakazi,na kuwa fariji wahanga mbali mbali.

Ukifeli hayo mambo hapo juu lazima ufeli SIASA.
Naona sasa unamtakia mabaya kijana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…