S Sundi Member Joined Jun 21, 2011 Posts 90 Reaction score 33 Aug 16, 2013 #41 Good answer - nakumbuka waingereza walimuuliza swali hilo hili Muammar Gaddafi; akawajibu hivyo hivyo, baadaye wakampoteza. Yule Mzee ni moja ya watawala wachache wenye msimamo thabiti ktk hili bara.
Good answer - nakumbuka waingereza walimuuliza swali hilo hili Muammar Gaddafi; akawajibu hivyo hivyo, baadaye wakampoteza. Yule Mzee ni moja ya watawala wachache wenye msimamo thabiti ktk hili bara.
W wa katikati Member Joined Oct 30, 2012 Posts 35 Reaction score 4 Aug 16, 2013 #42 hawaii said: inamaana babu anakula ngada au mmea wa hekima ?:mvutaji: Click to expand... wake anaupga na ULANZI, basi burudaaan wajamaa wanaipata LISHE YA MGONGO(feedbck) yake!.
hawaii said: inamaana babu anakula ngada au mmea wa hekima ?:mvutaji: Click to expand... wake anaupga na ULANZI, basi burudaaan wajamaa wanaipata LISHE YA MGONGO(feedbck) yake!.
Ntuzu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 17,418 Reaction score 10,877 Aug 17, 2013 #43 Viva89 said: Ntuzu said: Hakuna Dikteta Africa ila Madikteta wanapatikana Ulaya na Marekani![/QUOTE kwa hiyo hawa waafrika marais ambao wanataka kufia ikulu wanaitwaje? Click to expand... Hao wanaotaka maraisi wanaotaka kufia ikulu wanaitwa wakombozi na watetezi wa haki! Kwa hiyo wewe ukiambiwa umtaje Rais Dikteta utamtaja Mugabe? Click to expand...
Viva89 said: Ntuzu said: Hakuna Dikteta Africa ila Madikteta wanapatikana Ulaya na Marekani![/QUOTE kwa hiyo hawa waafrika marais ambao wanataka kufia ikulu wanaitwaje? Click to expand... Hao wanaotaka maraisi wanaotaka kufia ikulu wanaitwa wakombozi na watetezi wa haki! Kwa hiyo wewe ukiambiwa umtaje Rais Dikteta utamtaja Mugabe? Click to expand...
Viva89 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2012 Posts 1,262 Reaction score 530 Aug 17, 2013 #44 Ntuzu said: Viva89 said: Hao wanaotaka maraisi wanaotaka kufia ikulu wanaitwa wakombozi na watetezi wa haki! Kwa hiyo wewe ukiambiwa umtaje Rais Dikteta utamtaja Mugabe? Click to expand... mkombozi na mtetezi wa haki?!..labda u are in your own kind of Africa aisee..goodluck Click to expand...
Ntuzu said: Viva89 said: Hao wanaotaka maraisi wanaotaka kufia ikulu wanaitwa wakombozi na watetezi wa haki! Kwa hiyo wewe ukiambiwa umtaje Rais Dikteta utamtaja Mugabe? Click to expand... mkombozi na mtetezi wa haki?!..labda u are in your own kind of Africa aisee..goodluck Click to expand...
F FrankRoosevelt Senior Member Joined Aug 1, 2013 Posts 119 Reaction score 18 Aug 18, 2013 #45 Nimeipenda hii ya Mugabe!!