Umemiss nini leo?

View attachment 3584307Hata ukiniambia kwenda peponi au unipe hii chupa wewe Nenda tu huko peponi uniache na chupa yangu
Dah wewe gujamaa umenirudisha mbali sana aisee na hii chupa .

Mara ya kwanza kunywa hiki kitu nilipewa na dada mmoja nilisoma naye advance siku niliyomtembela pale Morocco kwao enzi hizo hapana kituo cha mabasi ya mwendo kasi ,alinidanganya ni juisi nikanywa mwisho wa siku nikawa tila lila ,washika dau wa mtaa wao wakaniletea noma kwa kudhani natoka na yule dada kumbe sivyo
 
Wife mwenyewe anajua ni moja ta wine tu.Maana home hazikatiki
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…