umeme

jmgory

New Member
Feb 7, 2011
2
0
huyu waziri wa nishati na madini a.k.a umeme anatania,jamani tutoke nje maana hali ni mbaya hana lolote , eti kasoma havardi ,havard gani hii ?

tumechoka na uongo wake
 
huyu waziri wa nishati na madini a.k.a umeme anatania,jamani tutoke nje maana hali ni mbaya hana lolote , eti kasoma havardi ,havard gani hii ?tumechoka na uongo wake
jiandae kusikiliza calculation zake za megawati,na usingz utaupata
 
Back
Top Bottom