Umeme wakatika tena sehemu kubwa ya nchi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umeme wakatika tena sehemu kubwa ya nchi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mkeshaji, Jul 16, 2011.

 1. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wakati Mh. Waziri wa Nishati na madini akijinadi huko bungeni kwa "Miradi lukuki ya Umeme" hivi sasa nchi nzima ipo "gizani kutokana na kuchomoka kwa gridi ya taifa. Mwendelezo wa makali ya mgawo wa giza!
   
 2. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mbona umeme uko hapa Arusha kaka .Au una maana gani kusema Nchi nzima ?
   
 3. vena

  vena JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aaaaaah! kweli lakin? au? kama kweli basi hawawabunge wana tufanya watanzania midoli yao, uchumi wetu haukui kwasabab ya vitu hiv hiv vya kijinga jinga kuwaangalia kama hatuwaon then kifuatacho sasa ajiuzulu au afukuzwe kazi,,,,,,hiz dharau na uzembe....
   
 4. Gwamahala

  Gwamahala JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 3,577
  Likes Received: 925
  Trophy Points: 280
  Huku Dom umeshakatika!
   
 5. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Gizani kivipi? Huku kwetu ni mchana... Jua kaliii?
   
 6. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hapa Ikulu Magogoni pia kuna umeme.
   
 7. Gwamahala

  Gwamahala JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 3,577
  Likes Received: 925
  Trophy Points: 280
  Vp umeme bado upo huko?
   
 8. vena

  vena JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  cheki sasa mambo gan haya wakuu huku kunao hukku hakuna kieleweke basi kimoja ili kijulikane kifuatacho
   
 9. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #9
  Jul 16, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Democracy hailazimishi serikali iliyopo madarakani kumaliza muda wake.......!
   
 10. Gwamahala

  Gwamahala JF-Expert Member

  #10
  Jul 16, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 3,577
  Likes Received: 925
  Trophy Points: 280
  Wa grid??
   
 11. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #11
  Jul 16, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  anamaanisha arusha ni sehemu ya kenya
   
 12. MKWECHE

  MKWECHE JF-Expert Member

  #12
  Jul 16, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 299
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Poleni Jamani!Mie nipo Kilabuni nawaburudisha wanakijiji wenzangu na Umeme wangu wa betri ya gari!
   
 13. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #13
  Jul 16, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kuchomoka kwa gridi ya taifa kivipi?jidadavue basi usije kwa kukurupuka na je umefanya reseach kweli na kugundua muda huu nchi nzima haina umeme?usije kiporojo zaidi njoo kwa fact mkubwa.
   
 14. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #14
  Jul 16, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  naunga mkono hoja, hziz taarifa zinaelekea kuwa za ukweli..nishaulizia mikoa kama 12 sasa nna watu nawafahamu kote wanasema umeme umekatika tena kama dk chache zilizopita. ccm oyee!
   
 15. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #15
  Jul 16, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  arusha sehemu gani?
   
 16. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #16
  Jul 16, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Kahama pia ipo gizani.
   
 17. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #17
  Jul 16, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Nimewasiliana na diwani mmoja wa ccm Arusha amesema muda huu kwao hakuna umeme acha unafiki
   
 18. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #18
  Jul 16, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  mimi nimesikia mlio hapa dar nadhani kuna ukweli fulani nilizani labda ni Transformer imelipuka. Ila hapa nilipo umeme onge mabero tangu saa kumi na mbili asubuhi.
   
 19. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #19
  Jul 16, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Leo ni siku ya tatu kahama haina umeme kwa mchana ila usiku unakuwa unawaka.
   
 20. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #20
  Jul 16, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Arusha yote umeme upo!
   
Loading...