Umeme wakatika sehemu kubwa iliyo kwenye Gridi ya Taifa - Juni 06, 2019

Squidward

JF-Expert Member
Jul 21, 2014
6,925
7,935
Niko maeneo umeme umekatika nikasema acha ni tune radio, I was shocked 70% ya radio zinazopatikana Dar hazijapatikana ndani ya dakika 1 can you imagine?. Je huu umeme umekatika dar nzima au Tanzania nzima? vipi hapo ulipo umeme upo?

Natoa pole kwa TANESCO

animated-question-mark-black-3d-icon-loop-modules-for-edit-with-alpha-matte_sxwfaijj-e_thumbnail-full02.png



========

TAARIFA KWA WATEJA WETU WA MIKOA ILIYOUNGANISHWA NA GRIDI YA TAIFA

Juni 06, 2019

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu Wateja wake wa Mikoa iliyounganishwa na gridi ya kuwa imetokea hitlafu kwenye mfumo wetu wa gridi mnamo saa 09:53 alasiri na kusababisha Wateja wetu kukosa huduma ya umeme.

Tutaendelea kutoa taarifa zaidi.

Tunaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza.
Kwa mawasiliano
Kituo cha miito ya simu 2194400 na 0768 985100

IMETOLEWA NA:

OFISI YA UHUSIANO

TANESCO MAKAO MAKUU
 
Niko maeneo umeme umekatika nikasema acha ni tune radio, 70% ya radio zinazopatikana dar hazijapatikana ndani ya dakika 1. Je huu umeme umekatika dar nzima au Tanzania nzima? vipi hapo ulipo umeme upo?
Ndio mkuu nilikuwa naongea na mtu hapa mi niko maeneo ya mnazi mmoja akasema yy huko umekatika yeye yuko buza, at the same time na mnazi ukawa umekata
 
Back
Top Bottom