Umeme wakata uwanjani Ghana, mchezo wavunjika. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umeme wakata uwanjani Ghana, mchezo wavunjika.

Discussion in 'Sports' started by Mphamvu, Jun 1, 2012.

 1. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Ni mechi ya kwanza ya Kundi D katika michezo ya kufuzu Kombe la Dunia 2014 kati ya Ghana na Lesotho, inayoendelea katika uwanja wa Baba Yara mjini Kumasi ambayo imevunjika kutokana na kuzimika kwa taa za uwanjani, chanzo cha kuzimika kwa taa hakikufahamika mara moja ingawa inadhaniwa kuwa hitilafu ya umeme.
  Mchezo huo ulikuwa katika dakika ya 50, na Ghana ikiongoza kwa goli 4 bila, mabao yaliyofungwa na Suley Muntari, Dominic Adiyah (2) na Jordan Ayew.
   
 2. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  huu ungeleja kumbe ni afrika nzima mi nlijua bongo tu.
   
 3. Chizi Fureshi

  Chizi Fureshi JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 1,710
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Imewasaidia lesotho
   
 4. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Wala haikuwasaidia, maana Ghana walipumzika vya kutosha, game iliporejewa wakafungwa 7-0.
  Poor Southerns...
   
 5. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Huko nadhani sio ungeleja, ni uzembe wa wanaoendesha uwanja.
   
 6. Chizi Fureshi

  Chizi Fureshi JF-Expert Member

  #6
  Jun 2, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 1,710
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Leo tena kutakuwa na mvua
   
Loading...