Umeme wa 'wireless' kuiangamiza TANESCO!

Advance in photovoltaic and fuel cell technology leading to a shift from centralized to distributed power generation is the greatest single threat to TANESCO survival.
 
Bora tanesco ife kwani imetunyonya vya kurosha
 

Ni tests tu...commercial deplyoment ni bado saaaana...na kwa medium hiyo speed itakua ndogo sana kufananisha na hardwired...

Na kwa taarifa yako tu,hayo mawasiliano yako unayosemea,karibu 90% ni hardwired...wireless ni pale kutoka kwa access point tu kwenda kwa user ambae yupo ndani na km chache tu...

Hizi kelele hujaanza wewe,wameanza kitambo ila bado i dont see it happening commercially ndani ya 60-100 yrz from now
 
Siku hizi kuna printer za ku-print chakula (usibishe), sasa kwanini ushindwe kuki-download?!

Mkuu FRANCIS DA DON wakivumbua uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa wireless unijuze mkuu.. Shemeji yako yuko maili 4000 toka nilipo mie na ninaingia gharama sana kusafiri mara kwa mara kwa ajili ya kutimiza tu tendo hilo..
Ni hilo tu Mkuu..
 
Last edited by a moderator:
Advance in photovoltaic and fuel cell technology leading to a shift from centralized to distributed power generation is the greatest single threat to TANESCO survival.

Mkuu unadhani Tanesco wamelala?Wanajua trend inaenda wapi way long before other normal Tanzanians see it...wana branch inayoshughulikia renewable energy as a whole na sio vipengele pengele...na naskia ina grow as fast
 
Bora tanesco ife kwani imetunyonya vya kurosha

Mkuu kivipi?

Lalamikia uchumi wa nchi kama ulivyo kwa ujumla wake ndio unaleta woes zote hizi...

20% tu ya tanesco revenue inatoka domestic consumption,80% inatoka viwandani...infact ni kibiashara naona wanatoa charity tu,heri wangepiga chini 20% ya wateja wasmbufu na kuboresha umeme viwandani kwenye hela
 
Mkuu mambo ya wireless yana prove failure rejea ICT baada ya kuona satelite sio efficient wala effective sana wanarejea ktk transmission ya nyaya though fibre optic, wasemaje hapo?
 
Mkuu mambo ya wireless yana prove failure rejea ICT baada ya kuona satelite sio efficient wala effective sana wanarejea ktk transmission ya nyaya though fibre optic, wasemaje hapo?

Mkuu upo sahihi kabisa..jamaa hawaelewi karibu 90 ya communications sasa hivi ni hardwired tofauti na anachosema na hii ni kutokana na ubovu na inefficiency ya wireless
 
Hii ni moja kati ya research area kubwa sana kwa sasa, watu wana invest sana kwenye hiyo area, specifically Korea kusini imeshaanza pilot project kwa daladala zake(kutumia dart yao)
So ipo na inaendelea kupngeza umaarufu, wenye research hii wanasema after 50years watu wataanza kujiuliza maana ya wireless kwa sababu kila kitu itakuwa wireless, na sio wired technology
 
wacha kutuzingua. wengi tumewahi kuwaza kitu kama hiyo lakini inaonekana impossible.
 

Mkuu wireless ina make sense zaidi kwa very short distances na power iwe kidogo tuu....ila sidhani kama unaweza transport 400kV kutoka Mtwara mpaka Arusha utaunguza anga zima kwa ionization

Kwanza acha kusafirisha umeme kwa wireless,uhifadhi wa umeme mkubwa wenyewe hamna mtu ameweza mpaka leo...hakuna..yaani kwa lugha nyepesi Tanesco ikizalisha umeme unatakiwa uuzwe wooote siku hiyo hiyo,hakuna pa kuhifadhi umeme,wanazalisha kwa demand..hakuna pa kuuweka unaozidi
 
Uje kwa hamu tumzike rasmi TANESCO to me ni zimwi lisilokujua linakukula mpaka unakwisha
 
Kila kitu kinaweza kuwa moderated na kuwa safe (waulize mods wanajua hili)

Niliwahi kuwaza kitu kama hicho mwaka 2010...ingawa na wengine waliwahi kuwaza kwa mlengo huo hapo zamani. Soma hapa.


https://www.jamiiforums.com/tech-ga...tz-which-needs-to-be-refined.html#post1422529
 

Ni kweli, ila kama nilivosema ni research area mpya, utafiti mwingi bado unafanyika! So u never know what its future will look like, just tusubiri na tuone matokeo ya research! Last time nilihudhuria kwenye conference flan kuna jamaa alipresent research yake ya jinsi ya kucharge nyumba na magari katika kambi ya jeshi flan katika nchi flan, na yeye amefanikiwa kucharge home appliances za nyumba 6 na gari ktk close proximity hiyo
So u never know! Future yake let's wait for wonders
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…