Mungu wa Mbinguni mrehemu Shujaa Magufuli, Mtambo namba 9 Bwawa la Nyerere umewashwa jana na namba 8 utawashwa March!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,119
Hakunaga Zawadi kubwa ambayo Shujaa Magufuli amewaachia Watanzania kama mradi wa Umeme wa Bwawa la Mwalimu Nyerere

Mtambo namba 9 utakaozalisha zaidi ya megawatt 240 umewashwa jana kwa mafanikio makubwa na Mtambo namba 8 utawashwa March mwaka huu

Mungu wa Mbinguni Umpumzishe kwa Amani kuumeni kwako Shujaa Magufuli

Credit: Upendo TV
 
Hapa nilipo hakuna umeme tangu mchana

Megawatt 240 ziingie kimya kimya kwenye grid? Kwenye injii hii hii yenye installed capacity ya Megawatt 1600?

Visima vya maji tu anazindua bi tozo ndio iwe 240MW?
 
Hakunaga Zawadi kubwa ambayo Shujaa Magufuli amewaachia Watanzania kama mradi wa Umeme wa Bwawa la Mwalimu Nyerere

Mtambo namba 9 utakaozalisha zaidi ya megawatt 240 umewashwa jana kwa mafanikio makubwa na Mtambo namba 8 utawashwa March mwaka huu

Mungu wa Mbinguni Umpumzishe kwa Amani kuumeni kwako Shujaa Magufuli

Credit: Upendo TV
🚮🚮
 
Baada ya Nyerere, mtu pekee aliekua anaipenda hii nchi ni Magufuli.

Mkapa pamoja na kwamba alikua mwanafunzi wa Nyerere lakini alifanya vitu vya ajabu sana kwenye hii nchi.

Kikwete ni failure, loser, ni mtu wa hovyo aliewahi kuiongoza hii nchi. Nchi ilipoteza mwelekeo na dira chini ya jamaa.
 
Back
Top Bottom