Umeme wa bei rahisi Dar kuanza mwakani

Umeme wa bei rahisi Dar kuanza mwakani

Bora tubaki na ccm yetu kuliko wachochezi na wavunja amani iliyojengeka nchini, wanaponda maendeleo wakati wao kulipa pango na mishahara tu kumewashinda kazi kushinda Dubai na Israel kila mwaka.
We need an 'Unlike' option here for people like you! MODS take notes!
 
ila mipango ipo na wote twaiona. Wakija tuwape tu maana wameanzisha mradi muhimu sana, tukiwapa wengine itatuchukua karne kupata mradi kama huo.

Mradi wa gesi najua kuwa upo sababu napita Kinyerezi karibu kila mwezi. Huwa nauona. Suala la kuwapa, kina nani? Ni mradi wa taifa.
 
Kama umeme utapungua bei dar, basi nusu ya wakazi wake watakuwa wamehamia mikoani!
 
miradi ya kutafuta kura za mwakani yote inaisha mwaka kesho. barabara za magari yaendayo kasi, daraja la kigamboni, ukarabati wa barabara, miradi ya maji, sasa umeme wa bei nafuu ambao uchaguzi ukiisha tu unapanda, elimu ya secondary bure haya tunasubiri.
 
kwa uhakika kabisa lazima gharama zitashuka, MMESAHAU MWAKA KESHO UCHAGUZI?
 
Bei itaongezeka mara dufu january 2016 watanzania tulivyo wajinga tunateseka miaka yote tunapata nafuu msimu wa uchaguzi tu
 
Msibishane sana..waulizeni Mtwara ambao kwa sasa wanatumia huo umeme wa gesi, je gharama yao ni ndogo kama wasemavyo!?
 
Nikiona hiyo nembo huwa nakereka sana.

Waongo hao hawana lolote
 
Hiki Chama imefika muda sasa kitupwe kwenye DUSTBIN!

Kila siku twaambiwa umeme utashuka,maji nchi nzima ,umeme nchi nzima,gharama za maisha kuwa chini wakati ndo kwanza inakuwa the opposite!
Ni muda kuwapa wengine tuwapime,maana kwa miaka hamsini sasa tumewapima lakini nchi yetu bado ipo mkiani kati ya nchi maskini duniani!
 
tushazoea fiksi zenu ..... uchaguzi mwakani mnajua mnatuletea mambo ya kushusha umeme
 
tangu lini nchi hii vitu vikapanda bei vikashuka ????
 
Bora tubaki na ccm yetu kuliko wachochezi na wavunja amani iliyojengeka nchini, wanaponda maendeleo wakati wao kulipa pango na mishahara tu kumewashinda kazi kushinda Dubai na Israel kila mwaka.
WATZ 2AMKE HIZ AHAD 2WE 2NAZIKUMBUKA NA SIO KUWAPONDA WAPINZAN BILA HAWA HATA 2SINGEJUWA UFISAD UNAOFANYIKA HUKO JUU, kama wame2ahd umeme kushuka ndo 2we 2nakumbuka wakija kwenye kampen mwakan.
 
Back
Top Bottom