nakumbuka wakati gesi inakuja kwa mara ya kwanza nyimbo zilikuwa kama hizihizi za umeme wa bei nafuu.tujiulize ni lini bei ikashuka.kila mara naona ewura wakitoa matangazo ya tanesco kuomba kibali cha kuongeza bei.kama wana uhakika wa kupungua bei waambie hebu sema mwezi fulani unit 1 kwa tarif hii na ile zitashuka kwa bei fulani usikie siasa zitakapoanzia. tusubiri tuone